Wamesema tangazo la ajira litatolewa na mgawanyo wake utawekwa wazi kwa sekta zenye uhabaDaaah, kiukweli hakuna Fair, just imagine kuna jobless wa vitivo mbalimbali alafu Kila siku zikitoka Ajira tunasikia ni Afya na Ualimu.. inatusikitisha sana, Sasa sijui hawa wa Afya na Ualimu ndo wanaowapigia kura miaka yote..!!!
Frankly tunaelewa hizo ni sekta nyeti sana ndani ya Taifa letu.. Ila kwenye Ajira 32000, wanaweza kugawa hata hizo 10,000 zikawa za faculty tofauti ili tugawanegawane kidogo
Kila sekta ina uhaba mkuu, kikubwa watoe tu hata kidgokidgo kwenye hizo faculty zingine ili watu waridhike, japo tunaamini Afya na Elimu ndo zitakuwa na namba kubwaWamesema tangazo la ajira litatolewa na mgawanyo wake utawekwa wazi kwa sekta zenye uhaba
Mkuu, mbona unataka kumtia hasira Mama yetu, kwanza ongea taratibu asije akasikia mama akazira bure vijana tukakosa ajira😁Kwani aliyesema maofisa wanazurula tu makoridoni ni nani?
Tushukuru hata kwa hichohicho kidgo.. hizo 32k ni nyingi sana kwa huu ukame.. wakifanya hv Kila mwaka kama alivyokawa anafanya Mzee kikwete watu atapunguza sana janga la Ajira .Elfu 32 ni kiduchu sana kutosheleza uhaba waliousababisha wenyewe, wanatafuta tu political milage na huenda hiyo elf 32 iko mdomoni zaidi.....
😁😁najiona nikilamba teuzi kwenye hizi ajira
Utaratibu unakuwaje mkuu, labda utupange basiAjira za kada nyingine wanatoa sema idadi huwa ndogo na utaratibu hauwi kama wa kada hizo mbili,
Samia alisema wataajiri walimu elfu7, Sasa elumu ndo inabeba watumishi wengi hao 32k watafikaElfu 32 ni kiduchu sana kutosheleza uhaba waliousababisha wenyewe, wanatafuta tu political milage na huenda hiyo elf 32 iko mdomoni zaidi.....
70% ya hizo ajira Ni ualimu na afyaKila sekta ina uhaba mkuu, kikubwa watoe tu hata kidgokidgo kwenye hizo faculty zingine ili watu waridhike, japo tunaamini Afya na Elimu ndo zitakuwa na namba kubwa
Kwani RUWASA ndo mambo ya maji..?nimesikia Ruwasa imepewa watu 900.ngoja tuone
Issue ni kwamba washajikanyaga wenyewe kuwa ni wiki ijayo zinatangazwa.. hvyo kwa hizi siku zilizobaki ni ngumu watu kusahau na tutathibitisha kuwa hawa ni waongo au wakweliHivi nyie mnaamini kweli hawa wanasiasa ni shida kwakweli uskute ziko 3,000 au wanatangaza kisha hawajiiri [emoji3][emoji3][emoji14]
Ndio, na wana vijana Kama 600 wanaojitoleaKwani RUWASA ndo mambo ya maji..?
Siku hazigandi subiri tuone ukweli wao unasimamia wapiIssue ni kwamba washajikanyaga wenyewe kuwa ni wiki ijayo zinatangazwa.. hvyo kwa hizi siku zilizobaki ni ngumu watu kusahau na tutathibitisha kuwa hawa ni waongo au wakweli
Toa mfano, ni sekta ipi inauhaba zaidi ya Afya na Elimu ?!Kila sekta ina uhaba mkuu, kikubwa watoe tu hata kidgokidgo kwenye hizo faculty zingine ili watu waridhike, japo tunaamini Afya na Elimu ndo zitakuwa na namba kubwa