Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

kwani jiwe aliajiri wale walimu wote aliosema?
na hii ni yale yale tu...........
 
Kati ya mawaziri siwapi credit kabisa basi ni huyu, yai wameshindwa kuwa wabunifu kutengeza ajira kweli, mpaka wanatoa ajira kama bonus utafikiri sio haki kuwatengezea ajira Watanzania
Waziri Mzigo
 
Hatuwezi kutengeneza ajira za mambo mengine zaidi ya hayo.

Viongozi tujifunze kufikiria, hizo ajira za afya na elimu haziko related na investment.

Tujitahidi kwenda na uchumi halisi tuwekeze, tutengeneze ajira zinatokana na uwekezaji. Huo ndio uchumi.
 
tumegeuzwa joyce wowo inatuchezesha akili mpaka miaka hii.mambo kama haya yangekuwa sio kupoteza mda bungeni.sasa wanaboresha nini wanayo jinadi nayo kila siku .sijui elimu,afya na mengine
 
Watumishi wapya 12000?? Inamaana gani
 
Watu mwaka jana wakajipinda tuma maombi wizara...maombi tamisemi mwisho wa siku wakaajiriwa watu 20 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ajira walizoahidi 2000 sina hamu aisee sema ngoja tuonee
 
Watu mwaka jana wakajipinda tuma maombi wizara...maombi tamisemi mwisho wa siku wakaajiriwa watu 20 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ajira walizoahidi 2000 sina hamu aisee sema ngoja tuonee
Hawawezi ajiri 32k mbwembwe hizo
 
Nyie @Mods Bora huu Uzi wangu muufute tu kuliko kuunganisha na Uzi mwingine, yaan simaindi kabisa huu upuuzi,, kama vp futeni tu uzi wangu nilisticky kwenye jambo jingine na sio kutangaza Ajira kama mlikoupeleka.. mods mnamambo za ajabu sana👺👺
 
Hao 12000 waliajiriwa linu?
 
-Serikali kwenye hilo tamko, kuhusu mishahara ambayo iliwekwa kwenye bajeti ya miezi 10 au 11 kwa watumishi wapya 32,000 watakaoajiriwa Mwezi wa tano au sita.
-Kwenye bajeti ya 2021/22 Serikali iweka mishahara ya waajiriwa wapya 44,000 ya miezi 12,
-labda Serikali ituambie kuwa , Watumishi 12,000 ndiyo walitengewa bajeti miezi 12 na hao 32,000 walitengewa bajeti ya miezi 2 au 1.
-serikali imeokoa(Save) mishahara ya miezi 10 na zaidi kwa kuchelewa kuajiri

Ushauri

-bajeti ya mishahara ya watumishi 32,000 ambayo haikulipwa,zitolewe Kama ruzuku kwa waagizaji wa bidhaa za petrol,ili kupunguza makali ya maisha.
-Mchakato wa ajira ufanyike haraka, kuepuka bajeti hiyo ya mishahara kuwa frozen tunakaribia mwisho wa mwaka wa fedha 2021/22.
-CAG afanye performance audit,na Waziri mwenye majukumu ya ajira Serikali awajibike kwa kuchelewesha mchakato
 
Hakuna haha ya kutangaza ajira Kuna vijana wamemaliza vyuo 2015 watolewe mtaani
 
Sisi ambao tunazururazurura Huku Halmashauri nyingi na wakuu wa idara tunaelewa.. wewe hujui lolote, So usinisumbue mkuu kama hutaki pita kushoto na sikulazimishi ukubali nikisemacho
Vijana wa siku hizi mna shida, kama ww unazurura Halmashauri ndio unajua kila kitu ?! Kwann usijibu swali nililokuuliza ?!

Tujibiane kwa hoja, maana wote hatujuani. Tumekutana J

Ujuaji ni moja ya sababu ya vijana wengi kuendelea kukaa mitaani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…