Waziri anasoma hisia za bosi wake kwamba amesononeka.Rais anasikitishwa vipi wakati yeye ndio alikuja na kauli za kusema sisi mafuta yetu yako bei chini kuliko kwa mabeberu na lazima yapande. Yeye ndiye alikuja na kauli lazima vitu zipande bei. Wanatoa viziwi eh
Mimi ni Chadema damu mimi sio Pingapinga.Mkuu ulipokuwa upinzani ulikuwa na hoja 'ngumu'..baada ya kuhamia kibandamaiti ccm hueleweki tena.
Acheni kelele, tunamalizia kujadiliana mkataba wa bandari ya Bagamoyo, hili la mafuta nalo litapita.Mkuu wewe ni diaspora?
Gesi ya Tanzania iko kwa mume, subiri mume afe ufikiriwe ktk mirathi, Gesi si Mali yenu/ yako.
Kwa msononeko nasema,
Yule mstaafu atakufa kifo cha tabu sana na ahera atakutana na hukumu kali sana.
Watakopa Tena wamesema mkopo nafuu 🤣🤣Bil 100 kidogo sana,
Kenya wametoa bil 800
😂Kipara in action.
Mungu wa Ibrahim tufanyie wepesi huyu mtu mchukue tupumue
Ila nyiee watu mtafanya watu wafanye kazi masaa 24. HahahahRais anasikitishwa vipi wakati yeye ndio alikuja na kauli za kusema sisi mafuta yetu yako bei chini kuliko kwa mabeberu na lazima yapande. Yeye ndiye alikuja na kauli lazima vitu zipande bei. Wanatoa viziwi eh
Huyu jamaa ni majanga kwa serikali ya Samia ni majanga makubwa sana, kweli ukipunguza bei kesho shida iko wapi? hoja yake yameshalipiwa kwa hiyo?
Jamani,hata Mimi alinishangazaa kwa Kauli zake.maana alihalalisha.Rais anasikitishwa vipi wakati yeye ndio alikuja na kauli za kusema sisi mafuta yetu yako bei chini kuliko kwa mabeberu na lazima yapande. Yeye ndiye alikuja na kauli lazima vitu zipande bei. Wanatoa viziwi eh
Ila nyiee watu mtafanya watu wafanye kazi masaa 24. Hahahah
"Katika mazungumzo yake kwenye kikao chetu usiku, Rais Samia alionesha kusononeshwa na kusikitishwa kwake na hata kama bei za soko la dunia ziko juu, lakini tutangulize utu na huruma na kuwajali wananchi" - January Makamba,View attachment 2218889
uko sahihiMKuu 100 billions kwenye mfuta ni sawa na kupunguza Tsh 100 kwa kila lita [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
MAJIBU MEPESI KWENYE MAMBO YA MSINGI
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Waziri anasoma hisia za bosi wake kwamba amesononeka.
Huku huwa wanasema tumesikia kelele za wananchi,huo msononeko huwa una wakati gani?
Duuuh SubhanallahKipara in action.
Mungu wa Ibrahim tufanyie wepesi huyu mtu mchukue tupumue
Ila kuna kitu kwa hawa wabunge na wana siasa unafiki ndio sipendi, mimi ukisoma sijatetea upande mmoja kizuri nasifia kibaya kwa maoni yangu nasema. Makamba na Mwigulu ni majanga ila sijasikia hata mbunge mmoja kupendekeza kama wao watachangia nini? bunge ni gharama kubwa sana lingine jambo la muhimu kila mtu kwanini asikate gharama zisizo kuwa za lazima kama kupunguza trips kwa maana stay katika budget yako kila mtu kuwa na gari hata kwenye trip labda mnaweza kushare wewe na mwenzako kuna mambo mengi kama mtu unaweza kufanya uka balance ila hiyo haina maana serikali isifanye wajibu wake. Nimependekeza acha petrol juu punguza Diesel.Kashakula pesa za stock iliopo…unataka apunguze aikose?!