Ndiyo maana tunarudi kwake.Mungu hujali watu wanaojijali!!!.
Itabidi tuzuwie wa watu wa nchi nyingi duniani wasije, kwani corona kwa sasa hayupo China pekee.
Wacha waje tu. Kifo nini kifo tu iwe cha Corona au Malaria au Ukimwi au kingine chochote kile. Zote ni sababu tu.
Rudini kwa Allah mjisalimishe kwake, kifo tunatembea nacho, usikiogope. Kama si leo, kesho.
Umenena vema kaka,japo Kama ikitokea (Mungu aepushie mbali) hata hicho kidogo tunachoomba kitatosha kushughulikia janga la hiki kirusi?Naunga mkono hoja, but it's very unfortunately, beggars can not be chooses!.
when you too poor na kazi yako kubwa is just to beg, wewe you just beg and you can't say no to anything however how small or risky is, to you its money first, even just a small change, then you can say yes to everything!. Hizi ndizo gharama za umasikini.
P
Kuna nini huko tena?Tatizo tunawanyenyekea sana Wachina ! Nadhani kinachotokea Korea kusini mmekisikia, tena kwenye nchi ambayo ipo G20 !
No kwetu haiwezi kutokea, WaChina wote tunao wapokea wamekuwa cleared at port of exit, kitu muhimu kwetu kuliko kitu chochote ni pesa tuu, na hata ikitokea ikatokea kweli, tutakipokea kikombe hicho kwa mikono miwili na kusema ndio mpango wa Mungu kwa watu wake.Umenena vema kaka,japo Kama ikitokea (Mungu aepushie mbali) hata hicho kidogo tunachoomba kitatosha kushughulikia janga la hiki kirusi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamwajibisha Idd Amin? Unajisemea tu! Nasikia wachina 200+ wamekuja kutalii! Tangu lini mchina akawa mtalii wakati hana hea? Wale ni takataka kama sisis ndio maana na wenyewe wana struggle kwenda USA kutafuta maisha. Huwezi kuwa na watu over 1 bn ukapata watu wa maana, yote yatakuwa matakataka. Nature abhor vacuum!Kuna nini huko tena?
Rudini kwa Allah mjisalimishe kwake, kifo tunatembea nacho, usikiogope. Kama si leo, kesho.
Wewe ni msomi ongea lugha iliyonyookaNaunga mkono hoja, but it's very unfortunately, beggars can not be chooses!.
when your too poor na kazi yako kubwa is just to beg, wewe you just beg and you can't say no to anything however how small or risky it is, to you its money first, even just a small change, you can't say mo, you just say yes to everything!. Hizi ndizo gharama za umasikini.
P
anamtetea Jiwe, huyu naona bado hajakumbukwa.
Nafikiri nimekuelewa!No kwetu haiwezi kutokea, WaChina wote tunao wapokea wamekuwa cleared at port of exit, kitu muhimu kwetu kuliko kitu chochote ni pesa tuu, na hata ikitokea ikatokea kweli, tutakipokea kikombe hicho kwa mikono miwili na kusema ndio mpango wa Mungu kwa watu wake.
P
Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa tena uliisha andikiwa ile siku unazaliwa, hivyo kama uliandikiwa utakufa kwa Corona, utakufa kwa Corona na huwezi kuzuia kifo.Umelogwa na shetani
Wasomi wako huko vyuo vikuu, humu hakuna usomi, ni hoja tuu!.Wewe ni msomi ongea lugha iliyonyooka
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena msiwe na wasiwasi magonjwa mengine ni ya wazungu tuu!.Nafikiri nimekuelewa!
Imasikini wa kukosa akili na maarifa ni mbaya sana. Tunajiandaa kuja kukesha kwa manabii na mitume kuomba tuponywe ugonjwa wa corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
wachina ni kama wewe, masikini, consumer index yao ni ya chini.. to keep soul and body intact! Hawana matumizi kama USA na western Europe. Wanashindia mihogo, eti hao ni watalii! Sijawahi kumuona mchina Southern Sun Dar! Sikuwahi kumwona mchina Shangrila Hotel Thailand at least nilipokaa!Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa tena uliisha andikiwa ile siku unazaliwa, hivyo kama uliandikiwa utakufa kwa Corona, utakufa kwa Corona na huwezi kuzuia kifo.
Hebe acheni hao Wachina na wengine wote waje kutuletea hizo forex tunazo hitaji sana.
P
wewe wa shule ya kata , wapo sana wasomi humu. Nawewe umekengeuka juzi , (ulikuwa msomi), kama walivyo wengi ukimwondoa Zito na Mbowe and some few others,Wasomi wako huko vyuo vikuu, humu hakuna usomi, ni hoja tuu!.
P
Hello
Sasa nchi yetu ambayo ikitokea kipindu pindu ni mtihani mkubwa, serikali kwa tamaa yenu ya fedha ndogo za utalii tena watalii tokea China sio watalii ambao wanao spend Pesa nyingi.