Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Faiza kinga ni bora kuliko tiba, huo ni msemo pendwa na wenye maana haswa .
Itabidi tuzuwie wa watu wa nchi nyingi duniani wasije, kwani corona kwa sasa hayupo China pekee.

Wacha waje tu. Kifo nini kifo tu iwe cha Corona au Malaria au Ukimwi au kingine chochote kile. Zote ni sababu tu.

Rudini kwa Allah mjisalimishe kwake, kifo tunatembea nacho, usikiogope. Kama si leo, kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisubiri, Chukua hatua sasa!

Corona SW.png
 
Naunga mkono hoja, but it's very unfortunately, beggars can not be chooses!.
when you too poor na kazi yako kubwa is just to beg, wewe you just beg and you can't say no to anything however how small or risky is, to you its money first, even just a small change, then you can say yes to everything!. Hizi ndizo gharama za umasikini.
P
Umenena vema kaka,japo Kama ikitokea (Mungu aepushie mbali) hata hicho kidogo tunachoomba kitatosha kushughulikia janga la hiki kirusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vema kaka,japo Kama ikitokea (Mungu aepushie mbali) hata hicho kidogo tunachoomba kitatosha kushughulikia janga la hiki kirusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
No kwetu haiwezi kutokea, WaChina wote tunao wapokea wamekuwa cleared at port of exit, kitu muhimu kwetu kuliko kitu chochote ni pesa tuu, na hata ikitokea ikatokea kweli, tutakipokea kikombe hicho kwa mikono miwili na kusema ndio mpango wa Mungu kwa watu wake.
P
 
Kwa nyongeza tu, Mungu huwa hashughuliki na mpumbavu, yani akupe akili halafu kwa uzembe wako utumie kichaka cha dini kumuomba akuepushe na balaa ambalo wewe hukuwa makini ! Hakuna Mungu wa namna hiyo na kama yupo basi asingetupa akili na ufahamu , tungekuwa na vichwa vyenye akili mufilisi kama vyura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nini huko tena?
Utamwajibisha Idd Amin? Unajisemea tu! Nasikia wachina 200+ wamekuja kutalii! Tangu lini mchina akawa mtalii wakati hana hea? Wale ni takataka kama sisis ndio maana na wenyewe wana struggle kwenda USA kutafuta maisha. Huwezi kuwa na watu over 1 bn ukapata watu wa maana, yote yatakuwa matakataka. Nature abhor vacuum!
 
Naunga mkono hoja, but it's very unfortunately, beggars can not be chooses!.
when your too poor na kazi yako kubwa is just to beg, wewe you just beg and you can't say no to anything however how small or risky it is, to you its money first, even just a small change, you can't say mo, you just say yes to everything!. Hizi ndizo gharama za umasikini.
P
Wewe ni msomi ongea lugha iliyonyooka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No kwetu haiwezi kutokea, WaChina wote tunao wapokea wamekuwa cleared at port of exit, kitu muhimu kwetu kuliko kitu chochote ni pesa tuu, na hata ikitokea ikatokea kweli, tutakipokea kikombe hicho kwa mikono miwili na kusema ndio mpango wa Mungu kwa watu wake.
P
Nafikiri nimekuelewa!
Imasikini wa kukosa akili na maarifa ni mbaya sana. Tunajiandaa kuja kukesha kwa manabii na mitume kuomba tuponywe ugonjwa wa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa tena uliisha andikiwa ile siku unazaliwa, hivyo kama uliandikiwa utakufa kwa Corona, utakufa kwa Corona na huwezi kuzuia kifo.

Hebe acheni hao Wachina na wengine wote waje kutuletea hizo forex tunazo hitaji sana.
P
wachina ni kama wewe, masikini, consumer index yao ni ya chini.. to keep soul and body intact! Hawana matumizi kama USA na western Europe. Wanashindia mihogo, eti hao ni watalii! Sijawahi kumuona mchina Southern Sun Dar! Sikuwahi kumwona mchina Shangrila Hotel Thailand at least nilipokaa!
Watubil moja huwezi kuwa na watu wa maana, ni takataka nyingi tu!
 
Back
Top Bottom