Mzigo umeshatua nyumbani tayari.Mask za kuziba midomo na pua zinauzwa wapi?Nadhani ni wakati muafaka wanafunza watanzania walioko China wakarejea nyumbani. Kama tumeamua kujilipua, kwa nini isiwe kwa vijana wetu wenyewe?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Corona ikiingia tu,chaguzi hazifanyikiKwanza unaongea peke yako Awamu ya tano wanataka Corona iingie haraka ili waendelelee kupiga marufuku mikusanyiko
Ili kampeni zisifanyike hata Watanzania milioni ishirini wakifa CCM haijali wanachojali ni kujichimbia Ikulu na kuendelea na ulaji wao
Ile scanner ina uwezo wa kudetect maambukizi ya Virus wa corona baada ya mda gani pindi mtu anapoikwaa Corona?Acha uongo wewe...Port Health kila Siku pale KIA kwenye arrival side sana scan watu wanaoingia kuhusu Afya...
Same to JNIA .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo nchi zingine walizo piga marufuku wageni kutoka china,hazina hizo scanner?Acha uongo wewe...Port Health kila Siku pale KIA kwenye arrival side sana scan watu wanaoingia kuhusu Afya...
Same to JNIA .
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa na Corona kipi zaidi?Wakati nchi mbali mbali duniani wana jihami na ugonjwa wa Corona ulioanzia China na kusambaa kwa kasi nchi mbali mbali jitihada zinafanyika kuzuia kusambaa zaidi ikiwemo kutopokea wageni kutoka China.
Nimeshangaa kuona afisa pale Kilimanjaro Inter. Airport ana furahia kupokea eti wageni wengi wanaotoka China kuja pumzika kutokana na kwao kusambaa corona.
Tuwe makini pesa ya utalii isije angamiza taifa. Nchi tajiri duniani zime kumbwa na huu ugonjwa na hawajaweza kuudhatiti sembuse sisi masikini tunao jazana kenye matatu na dala dala.
Rais toa neno taifa lisijeangamia. Kenya rais wao ameshapiga marufuku ndege toka China kutua tena baada ya waliopewa dhamana kushindwa kuweka zuio. Hali inajulikana haitavunja uhusiano wetu na China.
Mtu mmoja toka Italy kesha peleka ugonjwa Nigeria, hili ni somo.
Wazungu wameshindwa kuscan hadi hili gonjwa limeingia kwao sembuse mbongo!!Acha uongo wewe...Port Health kila Siku pale KIA kwenye arrival side sana scan watu wanaoingia kuhusu Afya...
Same to JNIA .
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri sana hili.Ile scanner ina uwezo wa kudetect maambukizi ya Virus wa corona baada ya mda gani pindi mtu anapoikwaa Corona?
Ukijibu hili takuuliza maswali mengine
Wakati nchi mbali mbali duniani wana jihami na ugonjwa wa Corona ulioanzia China na kusambaa kwa kasi nchi mbali mbali jitihada zinafanyika kuzuia kusambaa zaidi ikiwemo kutopokea wageni kutoka China.