Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Coronavirus ni ugonjwa ambao ukitaka uwepo katika nchi yako utakuwepo, na usipo taka uwepo hautakuwepo, hauna tofauti na zika, ebola na mengineo mengi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo la ajabu kuwa Tanzania haiwezi kuwaruhusu Watanzania walioko China kurejea nchini kwa sababu ya corona ila inaruhusu Wachina kuingia nchini kwa kigezo cha utalii.

Wakati nchi nyingine zikichukua tahadhari mfano Kenya kuzuia watalii au wasafiri kutoka China kuingia Kenya huku Tanzania hatuchukui hatua zozote, wachina wanaingia nchini kama nyumbani kwao.

Tunasubiri watu wakianza kufa ndio tuanze kuchukua tahadhari huku uwezo wa kukabiliana na Corona hatuna.

Mimi binafsi naomba kwa uzembe huu wa serikali Corona ikija ianzie wakubwa kama ilivyofanya huko Iran, Myanmar. Waanze kufa wao.
 
Wakati nchi mbali mbali duniani wana jihami na ugonjwa wa Corona ulioanzia China na kusambaa kwa kasi nchi mbali mbali jitihada zinafanyika kuzuia kusambaa zaidi ikiwemo kutopokea wageni kutoka China.

Nimeshangaa kuona afisa pale Kilimanjaro Inter. Airport ana furahia kupokea eti wageni wengi wanaotoka China kuja pumzika kutokana na kwao kusambaa corona.

Tuwe makini pesa ya utalii isije angamiza taifa. Nchi tajiri duniani zime kumbwa na huu ugonjwa na hawajaweza kuudhatiti sembuse sisi masikini tunao jazana kenye matatu na dala dala.

Rais toa neno taifa lisijeangamia. Kenya rais wao ameshapiga marufuku ndege toka China kutua tena baada ya waliopewa dhamana kushindwa kuweka zuio. Hali inajulikana haitavunja uhusiano wetu na China.

Mtu mmoja toka Italy kesha peleka ugonjwa Nigeria, hili ni somo.
 
Nadhani ni wakati muafaka wanafunza watanzania walioko China wakarejea nyumbani. Kama tumeamua kujilipua, kwa nini isiwe kwa vijana wetu wenyewe?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Mzigo umeshatua nyumbani tayari.Mask za kuziba midomo na pua zinauzwa wapi?
Watoto wetu warudi nyumbani tupambanie uhai huku
 
Kwanza unaongea peke yako Awamu ya tano wanataka Corona iingie haraka ili waendelelee kupiga marufuku mikusanyiko

Ili kampeni zisifanyike hata Watanzania milioni ishirini wakifa CCM haijali wanachojali ni kujichimbia Ikulu na kuendelea na ulaji wao
 
Corona ikiingia tu,chaguzi hazifanyiki
 
Kuna cases mbili za corona zimetokea california ambazo hazina mahusiano na cases za maeneo mengine, kama nchi zenye uchumi mkubwa na teknolojia kubwa zikishindwa kuthibiti magonjwa kama inavyotokea sasa kwa HIV huku Afrika tegemea tu kudra za mola.
 
Acha uongo wewe...Port Health kila Siku pale KIA kwenye arrival side sana scan watu wanaoingia kuhusu Afya...

Same to JNIA .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile scanner ina uwezo wa kudetect maambukizi ya Virus wa corona baada ya mda gani pindi mtu anapoikwaa Corona?
Ukijibu hili takuuliza maswali mengine
 
Hasara iko kubwa kuliko faida, wazungu wakisikia wachina wamekuja wao wana cancel trip. Hasara tupu
 
Wakati nchi mbali mbali duniani wana jihami na ugonjwa wa Corona ulioanzia China na kusambaa kwa kasi nchi mbali mbali jitihada zinafanyika kuzuia kusambaa zaidi ikiwemo kutopokea wageni kutoka China.

Nimeshangaa kuona afisa pale Kilimanjaro Inter. Airport ana furahia kupokea eti wageni wengi wanaotoka China kuja pumzika kutokana na kwao kusambaa corona.

Tuwe makini pesa ya utalii isije angamiza taifa. Nchi tajiri duniani zime kumbwa na huu ugonjwa na hawajaweza kuudhatiti sembuse sisi masikini tunao jazana kenye matatu na dala dala.

Rais toa neno taifa lisijeangamia. Kenya rais wao ameshapiga marufuku ndege toka China kutua tena baada ya waliopewa dhamana kushindwa kuweka zuio. Hali inajulikana haitavunja uhusiano wetu na China.

Mtu mmoja toka Italy kesha peleka ugonjwa Nigeria, hili ni somo.
Pesa na Corona kipi zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombea anaeruhusu Wachina Kuingia KIA Nchini Korona Ianze nae,Kama ilivyoanza na Makamu wa Raisi wa Irani!
Mwenye Mamlaka wa Kuzuia hawazuii,Corona ianze nao!

Back
Top Bottom