Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Njaa mbaya jamani....tunahitaji hizo $$, za entrance visa pale airport...hayo ya usalama tunamuachia Mungu....😉

Everyday is Saturday..................😎
 
Acha uongo wewe...Port Health kila Siku pale KIA kwenye arrival side sana scan watu wanaoingia kuhusu Afya...

Same to JNIA .

Sent using Jamii Forums mobile app
Oya acha upumbaf tunapoongea mambo ya msingi.

Huelewi iwiano wa uwezo wetu wakimifumo ya kiuchunguzi na hatari ya huu ugonjwa.

Cha kukusaidia ni kukwambia tu "KAMA NCHI HATUNA HATA UWEZO WA KUUDHIBITI USIFIKE HATA HAPO UKONGA KAMA IKIBAINIKA CASE MOJA UWANJA WA JN AIRPORT".

Ni bora kunyamaza kuliko kuonesha upUmbaf wako dhahil tena mbele ya wanaume

Shwain!![emoji35][emoji35]

Corona is real. Tena ipo mlangoni kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
moyafricatz, Wewe jamaa unaharufu mpaka ubongoni kwako.
Hivi unasoma kweli taarifa za huu ugonjwa? Hivi unaelewa wanaposema kumjua Mgonjwa Ni mpaka umweke sehemu maalum kwa siku 14? So hapo airport wanawahifadhi kwa siku ngapi ndio wanawarelease mitaani?

Eti tuna scanner umeinunua wewe? Umewahi kusikia taarifa yoyote ya serikali ikisema Ina vifaa vya kuweza kupima CORONA?

Unaleta ushabiki kwenye maisha ya watu utadhani wewe uko mwezini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Siongei Mengi, hii corona imeanz kuleta shida since January Ila hakuna hatua iliyochukuliwa, Sasa ukija nitaingia ukumbi wa bungeni na nitazunguka kila mahali wakati kikao kinaendelea,

asanteni kwa kutojali
 
Habari watanzania wote mliopo Tanzania.

Napenda niwaambie Kama korona itakua na athar kwetu Kama ilivyo Iran China Italy na Americans Basi mjue hatutaweza kupambana nayo hata kidogo na hata tukijaribu tutakua tumeshachelewa Kama tulivyoanza kuonesha dalil za uchelewaji.

Tanzania Sasa hivi Kuna wagonjwa watatu wote ni wagen kutoka nje. Hii inamaanisha kwamba Srikali ilipaswa kuliona ili tatizo mapema.

Sawa wote tunajua labda ilishindwa kufanya hivyo kwa sababu za kiuchumi lakin ilikua Bora nch ishuke kiuchumi Ila watanzania wabaki katika Amani na kuishi bila hofu hii ingesaidia Watanzania wote kuendelea kufanya shughuli zao ndan tu ya nchi na Wala asingetokea mtu kufa kwa njaa sababu tungekuwa na uwezo wa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na maisha yangeendelea Safi tu mpaka dawa itakapopatikana.

Ila serikali imeshafanya kosa imeruhusu mipaka kuwa wazi na ugonjwa kuingia kwa inshu Kama io tujue kabisa hatuwezi kujilinda na huu ugonjwa ukiwa ndani Tena ndio maisha yatakuwa mabaya kushinda hata Yale ambayo tungekuwa nayo Kama tungefunga mipaka mapema.

Sababu Kama ugonjwa upo ndani tayari shule zingefungwa mahospitali yamefungwa bank zitafungwa na huduma nyingi za kijamii zitafungwa kama ugonjwa utakuwa hatari sana kama Italy watu italazimika wajifungie ndani wafe njaa au waende wakatafute riziki wafe kwa Corona kitu ambacho kingeweza kuziwilika Kama mipaka ingefungwa ndio maisha yangekua magum Ila watu wangepata Uhuru wa kujichanganya Kwani ambae angekuwa hana angeweza kumuamba mwenye anacho Ila ngoma iko humu humu watu tutakimbiana

Pia ningependa niishauri serikali kwanini haitaki kufunga mipaka badala yake inafunga shule na baadhi ya taasisi.

Tuombe Mungu atulinde tu basi ila ngoma ikiwa kama Italian Iran dah hatutaweza kabisa tusidanganyane tena dawa yenyewe Marekani anasema itaanza kupatikana ndani ya mieizi 18 unafikiri tutaweza? Kusubiri muda wote huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka wakati nasoma Shule ya msingi, kuongeza kiswahili ilikuwa taabu sana. Lugha ya kabila langu ilinitawala( mother tongue). Haikuwa kwa mimi tu, kimsingi ilikuwa sehemu kubwa ya wanafunzi kiswahili kilikuwa tabu sana. Tukiwa bado Shule, ili kujenga uelewa wa kusikia maneno ya kiswahili tulikuwa na kitu kinaitwa IMLA kwenye mitihani ya kishwahili(Tujifunze Lugha Yetu). Baadae nikaja ambiwa Kuna utawala wa KIIMLA pia. hapa ndiyo utaona athari za imla, maana usiposikia vema unakosa jumla, ukikosea inakula kwako. "Absolute power corrupt absolutely"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia waliokua na covid-19 wote wametokea ulaya kwanin serekali isisitishe Safari zote za ndege kuingia Tanzania angalau kwa mwezi mmoja

Kufunga shule ni hatua nzuri Ila sio ku-deal na chanzo
 
Write your reply...hii ndio ilipaswa kuwa hatua ya awali kabisa
 
Katika mambo ambayo siamini ni pale mtu anaposhindwa kuiga mambo mazuri. Uganda wamefunga na kuzuia wageni kuingia nchini mwao, kenya wamezuia na mpaka nusura itokee mgogoro baada ya kugundua wagonjwa wanatoka ulaya na marekani. Sasa dada yangu Ummy kama waziri upo kama pazia. Leo hii tuna wagonjwa watatu wotete wamepitia viwanja vya ndege. Hivi mnawafanya watanzania wajinga na wasio na akili?

Hata hivyo nakupongeza Waziri Mkuu. Naona kama umechukua majukumu kushughulika na ugonjwa huu. Tafadhali funga mipaka na funga viwanja vya ndege hasa kwa nchi zilizo na shida kubwa hasa Ulaya, Asia na Marekani.

Ebu fikirini tunawaelekeza kama hawajui kazi yao.

Mtatuelewa mamii wakianza kufariki, ndipo hapo tukapopima uthabiti wa uwezo wa serikali yetu kupambana na majanga.

Waziri wa Afya atumbuliwe please.
 
Potelea mbali, uzembe wa watu wachache wenye dhamana yetu itufanye tuishi kama digidigi! Ama!
 
Nilijua yupo makini kwenye utendaji kumbe ovyo. Kulemba maneno si aende akawe mtangazaji tbc?
 
Bahati mbaya sana umemuonea Ummy mwalimu kwa kosa ambalo sio lake yeye kama yeye hana mamlaka ya kufunga viwanja vya ndege huyo uliyemsifia kwa kuchukua uamuzi yeye na mwenzake (nadhani unamfahamu) ummy yeye ni mtu wa kutoa ushauri tu wenye maamuzi wapo ndio wa kulaumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…