Apishe watu wengine. Na jukumu la kudhibiti corona airport la waziri mkuu au la Ikulu.
yeye ndiye mwenye dhamana ya afya ya watanzania.
Ajitokeze atolee ufafanuzi basi.
Huna lolote wewe.
una uhakika alitoa huo ushauri?Bahati mbaya sana umemuonea Ummy mwalimu kwa kosa ambalo sio lake yeye kama yeye hana mamlaka ya kufunga viwanja vya ndege huyo uliyemsifia kwa kuchukua uamuzi yeye na mwenzake (nadhani unamfahamu) ummy yeye ni mtu wa kutoa ushauri tu wenye maamuzi wapo ndio wa kulaumiwa
Hizi habari huwa unaziokota wapi?Kwa mfano kule Chunya kuna kachina kamepatikana na huo ugonjwa kamepelekwa Hospital ya rufaa mbeya sasa sijui kamefikaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye km waziri mwenye dhamana anatakiwa ashauri mamlaka kuwa ugonjwa unapita paleee nashauri pafungwe simple that way, ajitoe kwenye lawama!!Bahati mbaya sana umemuonea Ummy mwalimu kwa kosa ambalo sio lake yeye kama yeye hana mamlaka ya kufunga viwanja vya ndege huyo uliyemsifia kwa kuchukua uamuzi yeye na mwenzake (nadhani unamfahamu) ummy yeye ni mtu wa kutoa ushauri tu wenye maamuzi wapo ndio wa kulaumiwa
Kwa mfano kule Chunya kuna kachina kamepatikana na huo ugonjwa kamepelekwa Hospital ya rufaa mbeya sasa sijui kamefikaje
Ni jambo la kawaida hospitali zetu kuwa na taadhali. sio jambo la kushangaza.
hata hapa kanda ya kati ilikuwa hivyo hivyo jana. Lakini tunamshukuru Mungu tumeamka shwari
Hivi kwanini wapinzani hamuendi WHO kuomba tunyimwe vipimo vya korona kama mlivyofanya kwa fedha za world bank.
Boss wake ndio anapaswa kutumbuliwa October 2020.Katika mambo ambayo siamini ni pale mtu anaposhindwa kuiga mambo mazuri. Uganda wamefunga na kuzuia wageni kuingia nchini mwao, kenya wamezuia na mpaka nusura itokee mgogoro baada ya kugundua wagonjwa wanatoka ulaya na marekani. Sasa dada yangu Ummy kama waziri upo kama pazia. Leo hii tuna wagonjwa watatu wotete wamepitia viwanja vya ndege. Hivi mnawafanya watanzania wajinga na wasio na akili?
Hata hivyo nakupongeza Waziri Mkuu. Naona kama umechukua majukumu kushughulika na ugonjwa huu. Tafadhali funga mipaka na funga viwanja vya ndege hasa kwa nchi zilizo na shida kubwa hasa Ulaya, Asia na Marekani.
Ebu fikirini tunawaelekeza kama hawajui kazi yao.
Mtatuelewa mamii wakianza kufariki, ndipo hapo tukapopima uthabiti wa uwezo wa serikali yetu kupambana na majanga.
Waziri wa Afya atumbuliwe please.
Hapa ndipo mabogus wanapojipambanua.Hakuna jambo dogo inapokuja swala la maslahi ya Taifa, ni wakati sasa wapinzani mkajifunza kufanya siasa za kistaarabu na sio kupenda kutafuta sifa kwa mambo yasiyokuwa na tija.
Unajuaje kama amekwisha kushauri na amekataliwaYeye km waziri mwenye dhamana anatakiwa ashauri mamlaka kuwa ugonjwa unapita paleee nashauri pafungwe simple that way, ajitoe kwenye lawama!!
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe una uhakika gani hajatoa?
Magu kakimbilia chato ila hili dude litamfuata huko hukoUkiangalia waliokua na covid-19 wote wametokea ulaya kwanin serekali isisitishe Safari zote za ndege kuingia Tanzania angalau kwa mwezi mmoja
Kufunga shule ni hatua nzuri Ila sio ku-deal na chanzo
Sio rahisi kama unavyofikiria hata huko ulaya hakuna kupimo cha Corona moja kwa moja airport ingekuwa hivyo hiyo corona ingeishia china tu pale airportUwezo wangu wa kuwajibisha ni huyu waziri. Kwa sababu ilikuwaje mashine au watu aliowaweka Airport KIA hawakuweza kumtambua mkonjwa? Wsngapi wamepita bila kugundulika? Na hao wazungu wa leo waliogundulika wamepita wapi? Maafisa wa afya walikuwa wapi?
Tumpuzishe huyu dada yeye ni wazir tu na mshauri ila wenye maamuzi ni hao wa juu yake Mbona Ndalichako hajashutumiwa ila wazir mguu ndio amekuja kufunga shule na vyuoYani hapa nina hasira nahisi kupasuka kwann wamefanya uzembe kiasi hiki? taifa masikini linaangamia hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichokijua ni kwamba serekali hii huwa inaongozwa na mtu mmoja! Yaani mtu mmoja ndiye rais na ndiye waziri wa kila wizara!!Katika mambo ambayo siamini ni pale mtu anaposhindwa kuiga mambo mazuri. Uganda wamefunga na kuzuia wageni kuingia nchini mwao, kenya wamezuia na mpaka nusura itokee mgogoro baada ya kugundua wagonjwa wanatoka ulaya na marekani. Sasa dada yangu Ummy kama waziri upo kama pazia. Leo hii tuna wagonjwa watatu wotete wamepitia viwanja vya ndege. Hivi mnawafanya watanzania wajinga na wasio na akili?
Hata hivyo nakupongeza Waziri Mkuu. Naona kama umechukua majukumu kushughulika na ugonjwa huu. Tafadhali funga mipaka na funga viwanja vya ndege hasa kwa nchi zilizo na shida kubwa hasa Ulaya, Asia na Marekani.
Ebu fikirini tunawaelekeza kama hawajui kazi yao.
Mtatuelewa mamii wakianza kufariki, ndipo hapo tukapopima uthabiti wa uwezo wa serikali yetu kupambana na majanga.
Waziri wa Afya atumbuliwe please.