Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Unajifanya mweleewa kumbe hata kunawa hujui
Sent using Jamii Forums mobile app
Apishe watu wengine. Na jukumu la kudhibiti corona airport la waziri mkuu au la Ikulu.
yeye ndiye mwenye dhamana ya afya ya watanzania.
Ajitokeze atolee ufafanuzi basi.
Sent using Jamii Forums mobile app