mwalisi
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 651
- 561
we upendi pesaHaswa wewe. msaliti tuliyekutegemea utoe challenges, leo unatafuta uDC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we upendi pesaHaswa wewe. msaliti tuliyekutegemea utoe challenges, leo unatafuta uDC.
msome vizuriUnajivunjia heshima uliyojijengea miaka mingi na inawezekana kwa gharama kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana hili ndilo waliloliwaza viongozi wetu?Huu ugonjwa sio kwa ajili ya waafrica. So sisi hautuathiri sana waje tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na atakaetangaza kuwa ipo, atapewa kesi ya uhujumu uchumi na kosa la kutakatisha 'ile kitu' itamhu!
Ina uma Sana ndugu Zanguni
Imagine Mwanao yupo China amekataliwa kuja Tanzania Wakati huo huo Nchi inapokea Watalii kutoka kutoka huko huko China
Mbona Mnatufanyia hivi Serikali ya Awamu ya Tano ??
Mnataka tufe Kama kuku waliovamiwa na Mdondo ??
Corona ni mafua tu sijui mnaogopa nini,ukipata kunywa safari lager tatu kwisha kabisa
Mkuu Sukaredi Woli, ucha dharau, usiwadharau kabisa darasa la saba, kuwaita wajinga na mazuzu, hivi kabla ya kuja wakoloni na kuleta elimu hii ya Wazungu, mababu zetu wote walikuwa wajinga na mazuzu?. Hivi unamjua Tajiri bilionea No. 1 TZ ni nani na inaijua elimu yake?.Pascal Mayalla,
Huwezi kuwa darasa la saba ukawa na issue, labda useme hizo issue unazitolea kwa wajinga, mazuzu wenzako na wanaziona za maana kwa vile reasoning yao imeishia hapo! kama lilivyo bunge la ndugai. Wote mle ni wajinga, mazuzuz etc! Kama ulisikiliza debate za impeachment ya Trump ndiyo utaona tofauti ya wasomi na wajinga kama nyie!
Jielemishe kuweza kujua jinsi ugonjwa huo ulivyoenea China nzima licha ya kwamba ulianzia jimbo moja.Kwan huo ugonjwa upo china nzima au whuhan?
Kupokea watalii toka china sio lazima watoke china mainland,kuna hong kong na macau zote china
Lete details za hao watalii kwanza kabla ya kuja kulia humu
Upo mbali na Dunia. Wapo walioambukizwa, na wakalazwa.Huu ugonjwa Inavyosemakana ngoz nyeusi hautupati,had sasa haluna report inayoonyesha mwafrica ngoz nyeus amefariki au kuambukizwa...kuna jambo lakujifunza hapa
Tumawezaje kupokea watalii toka China ilihali watoto wetu huko tumewasusa?
Dawa yake ni dry gongo ya mabibo glass tatu kila siku kwa siku mbili..
Konyagi pia inakata mafua .Corona ni mafua tu sijui mnaogopa nini,ukipata kunywa safari lager tatu kwisha kabisa
Wanashuka Kia tunawapakia kwenye mabus Hadi Gurmet hotels hukohuko Serengeti Wala hamna shidahatujitambui
Hao siyo watalii, ni wakimbizi wa Corona huko kwao, wanakuja huku kutulia mpaka huko kwao hali iwe shwari, Na you never know wengine wwnaweza kuwa na virusi vya ugonjwa huo
Ndiyo maana siku hizi nauza sana nyagi na k vant.Nasikia kweli haipatani na pombe
Mzee wa magogoni anakucheki tu bagosha anasema hi hiiiii usinijaribu.Yaani huyu msemaji wa serikali ni mpuuzi kabisa. Mataifa makubwa, yenye teknolojia ya hali ya juu katika tiba, wameona janga la huu ugonjwa na ugumu wa kuudhibiti, wamepiga marufuku wasafiri toka China, sisi tunawakaribisha.
Kweli sisi ni vichwa vya panzi!
Hivi tunaamini kuwa hela ya watalii kutoka China inazidi thamani ya uhai na afya za Watanzania? Kama tunawapenda sana Wachina na tumeamua kufa nao, nashauri wakifika tu airport wapokelewe kwa tahadhari maalum, wasafiri kwa magari maalum, kisha wakafungiwe ikulu, wakae siku 14, ikiwa wapo salama, ndiyo waruhusiwe kwenda sehemu yoyote ndani ya nchi.