Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not withstanding ------- And 99.9999% of this Banana Republic think like you!Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa tena uliisha andikiwa ile siku unazaliwa, hivyo kama uliandikiwa utakufa kwa Corona, utakufa kwa Corona na huwezi kuzuia kifo.
Hebu acheni hao Wachina na wengine wote waje kutuletea hizo forex tunazo hitaji sana.
P
duh haupo serous jamaa unasema huenda lisiwe tatizo kubwa na huu mlindiko wa watu unafakiri inaweza kuenea kwa namna.Hao wakimbizi wa Corona (watalii) wametokea Wuhan? Maana serikali yao imepiga marufuku safari za kuingia na kutoka Wuhan.
Kama ni maeneo mengine ya China ambayo hayajaathirika sana basi huenda lisiwe tatizo kubwa japo ni muhimu kuchukua tahadhari.
Amin nakuambia hoja yako haitajibiwa humu kwakua tunachojua sisi ni kulichukia Serikali tu! Mungu ibariki Afrika na Mungu Ibariki Tanzania.Kwan huo ugonjwa upo china nzima au whuhan?
Kupokea watalii toka china sio lazima watoke china mainland,kuna hong kong na macau zote china
Lete details za hao watalii kwanza kabla ya kuja kulia humu
DAHNo kwetu haiwezi kutokea, WaChina wote tunao wapokea wamekuwa cleared at port of exit, kitu muhimu kwetu kuliko kitu chochote ni pesa tuu, na hata ikitokea ikatokea kweli, tutakipokea kikombe hicho kwa mikono miwili na kusema ndio mpango wa Mungu kwa watu wake.
P
China maambukizi mapya ynagunduliwa kila siku, mamia ya watu, na sio tu hilo jimbo la Wuhan, Nigeria kuna mgonjwa wa Corona tayari, Algeria pia na Egypt, hao wagonjwa wapya wanaogunduliwa nchi tofauti unadhani wanatokea Wuhan?Amin nakuambia hoja yako haitajibiwa humu kwakua tunachojua sisi ni kulichukia Serikali tu! Mungu ibariki Afrika na Mungu Ibariki Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia kweli haipatani na pombe
cjasapoti ulichoandika
kwa huo wingi wa wachina walio tua baasi nimeanza kuamini corona virus hapatani na damu ya kiafrika! Otherwise tungeshapata maambukizi!Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini.
Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao.
Hii hali ininatisha sana haswa ukizingatia mgonjwa wa kwanza kufa huko ulaya yaani Ufaransa ni mzee aliyekuwa ameenda kutalii.
Swali la kujiuliza ni, kwanini katika hali critical namna hii serikali inaendelea kutoa viza kwa wingi na kuwaruhusu Wachina kuingia kwa wingi namna hii?
Hebu tujiulize laiti nchi yetu ingekuwa imepigwa na Ebola au Corona wangeturuhusu kukimbilia kwao?
Hii hali ni ya ajabu sana, wakati serikali hii inasuasua kuwarudisha watoto wetu walioko Wuhan (sababu mojawapo ni kuhofia hao watoto kuleta maradhi nchini), hii ni double standard kubwa, iba maana tunaweka mbele pesa za kitalii kuliko usalama wa taifa letu?
Wenzetu Wakenya wamesitisha safari za ndege zao China kuepuka kuleta maradhi nyumbani lakini sisi tumefumba macho kwa sababu ya kuogopa kuwaudhi wachina.
Mashirika makubwa ya ndege kama vile British Airways nao wamesitisha safari za China na kuna nchi kama vile zimesitisha kupokea watalii wa Kichina, sisi tunakwama wapi?
Shirika la Ethiopian Airline ndo limekuwa mchawi zaidi, lenyewe linaweka mbele maslahi ya fedha na hivyo kuhatarisha bara zima la Afrika, limeshutumiwa sana kuendelea kufanya biashara katika kipindi hiki cha hatari.
Hapa chini nimeweka video ikionyesha dege la Ethiopia Airline likishusha mamia ya Wachina huko KIA.
---
Pia soma
> Utalii: Wachina 600 kutua Tanzania wiki ijayo
> Serikali yatenga maeneo maalumu kwa watu watakaogundulika kuwa na Virusi vya Corona Tanzania
View attachment 1359217
Umejuaje kama bado hujapata hayo maambukizi?Kwa hiyo
kwa huo wingi wa wachina walio tua baasi nimeanza kuamini corona virus hapatani na damu ya kiafrika! Otherwise tungeshapata maambukizi!
Huku kutafuta pesa kwa nguvu za kujengea reli na Stigler's zitaja kutugharimu!Serikali hii inatishia usalama wa nchi kwa kuruhusu watalii wa kichina kuingia nchini katika kipindi hiki hatari.
Wamewatekelekeza watoto wetu huko Wuhan lakini wanaruhusu wachina kutsfuta Ukimbizi wa Afya nchini kwa kisingizio cha utalii
Hili si jambo la dhana ni jambo la uhakika! Ndio Mana aliyekoment aliomba uthibitisho iwapo watalii ni wale wa WUHAN?China maambukizi mapya ynagunduliwa kila siku, mamia ya watu, na sio tu hilo jimbo la Wuhan, Nigeria kuna mgonjwa wa Corona tayari, Algeria pia na Egypt, hao wagonjwa wapya wanaogunduliwa nchi tofauti unadhani wanatokea Wuhan?
Kuna kila dalili maana kwa jinsi hawa ndugu zetu wanavyokuja kwetu kwa wingi na tunavyoshirikiana kwa mengi hasa ukichukulia tekinolojia yetu ya kupambana na maradhi Africa ungekuta imeshasambaa kuliko ilivyo ulaya sasa!Umejuaje kama bado hujapata hayo maambukizi?
Slay Queen ukipata tu huchukui round ni 14 days tu dalili zinaonesha,utakohoa wewe mpaka watu watakushtukia tuUmejuaje kama bado hujapata hayo maambukizi?