Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa tena uliisha andikiwa ile siku unazaliwa, hivyo kama uliandikiwa utakufa kwa Corona, utakufa kwa Corona na huwezi kuzuia kifo.

Hebu acheni hao Wachina na wengine wote waje kutuletea hizo forex tunazo hitaji sana.
P
Not withstanding ------- And 99.9999% of this Banana Republic think like you!
 
Hao wakimbizi wa Corona (watalii) wametokea Wuhan? Maana serikali yao imepiga marufuku safari za kuingia na kutoka Wuhan.

Kama ni maeneo mengine ya China ambayo hayajaathirika sana basi huenda lisiwe tatizo kubwa japo ni muhimu kuchukua tahadhari.
duh haupo serous jamaa unasema huenda lisiwe tatizo kubwa na huu mlindiko wa watu unafakiri inaweza kuenea kwa namna.
 
Kwan huo ugonjwa upo china nzima au whuhan?
Kupokea watalii toka china sio lazima watoke china mainland,kuna hong kong na macau zote china
Lete details za hao watalii kwanza kabla ya kuja kulia humu
Amin nakuambia hoja yako haitajibiwa humu kwakua tunachojua sisi ni kulichukia Serikali tu! Mungu ibariki Afrika na Mungu Ibariki Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amin nakuambia hoja yako haitajibiwa humu kwakua tunachojua sisi ni kulichukia Serikali tu! Mungu ibariki Afrika na Mungu Ibariki Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
China maambukizi mapya ynagunduliwa kila siku, mamia ya watu, na sio tu hilo jimbo la Wuhan, Nigeria kuna mgonjwa wa Corona tayari, Algeria pia na Egypt, hao wagonjwa wapya wanaogunduliwa nchi tofauti unadhani wanatokea Wuhan?
 
Huu ni upuuzi nani uzembe mkubwa sana kama maambukizi yataanza Tanzania ndo kufa kama kuku
 
Kwa hiyo
Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini.

Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao.

Hii hali ininatisha sana haswa ukizingatia mgonjwa wa kwanza kufa huko ulaya yaani Ufaransa ni mzee aliyekuwa ameenda kutalii.

Swali la kujiuliza ni, kwanini katika hali critical namna hii serikali inaendelea kutoa viza kwa wingi na kuwaruhusu Wachina kuingia kwa wingi namna hii?

Hebu tujiulize laiti nchi yetu ingekuwa imepigwa na Ebola au Corona wangeturuhusu kukimbilia kwao?

Hii hali ni ya ajabu sana, wakati serikali hii inasuasua kuwarudisha watoto wetu walioko Wuhan (sababu mojawapo ni kuhofia hao watoto kuleta maradhi nchini), hii ni double standard kubwa, iba maana tunaweka mbele pesa za kitalii kuliko usalama wa taifa letu?

Wenzetu Wakenya wamesitisha safari za ndege zao China kuepuka kuleta maradhi nyumbani lakini sisi tumefumba macho kwa sababu ya kuogopa kuwaudhi wachina.

Mashirika makubwa ya ndege kama vile British Airways nao wamesitisha safari za China na kuna nchi kama vile zimesitisha kupokea watalii wa Kichina, sisi tunakwama wapi?

Shirika la Ethiopian Airline ndo limekuwa mchawi zaidi, lenyewe linaweka mbele maslahi ya fedha na hivyo kuhatarisha bara zima la Afrika, limeshutumiwa sana kuendelea kufanya biashara katika kipindi hiki cha hatari.

Hapa chini nimeweka video ikionyesha dege la Ethiopia Airline likishusha mamia ya Wachina huko KIA.

---



Pia soma
> Utalii: Wachina 600 kutua Tanzania wiki ijayo
> Serikali yatenga maeneo maalumu kwa watu watakaogundulika kuwa na Virusi vya Corona Tanzania

View attachment 1359217
kwa huo wingi wa wachina walio tua baasi nimeanza kuamini corona virus hapatani na damu ya kiafrika! Otherwise tungeshapata maambukizi!
 
Kwa hiyo

kwa huo wingi wa wachina walio tua baasi nimeanza kuamini corona virus hapatani na damu ya kiafrika! Otherwise tungeshapata maambukizi!
Umejuaje kama bado hujapata hayo maambukizi?
 
Hii ni Nigeria Mchina kaingia na dalili za ugonjwa
IMG-20200228-WA0011.jpeg
IMG-20200228-WA0012.jpeg
IMG-20200228-WA0013.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
Wauuguzi na Madaktari wakiwa kwenye nyumba ya Mchina anayedhaniwa kuwa mgonjwa
 
Tukumbuke kwamba mataifa makubwa kama Marekani, Uingereza, Israel, Japan, Canada etc....Licha ya kuwa na huduma bora zaidi duniani, wamepiga marufuku raia kutoka nchi za China na Korea kuingia kwenye chi zao.

Akielezea kuhusu kuingia kwa machina nchini, Afisa mmoja wa uhamiaji amedai kwamba, kipindi cha oyuma Tanzania ilikuwa inapokea wachina 30 hadi 50, ila kwa sasa waningia zaidi ya 150 kwa siku na wote wamevaa face mask. Kwa tafsiri nyingine ni kwamba hawa wanakimbia makwao kuja kujificha Tanzania.

Wakati tunashabikia ujio wa wachina kwa madai ya utalii, tutafakari hathari za muda mrefu itakayotokana na mlipuko wa ugonjwa wa CoronaVirus. Ingekuwa vyema zaidi serikali ikapiga marufuku ujio wa wachina hadi hali itakapokaa sawa. Hatuna uwezo wa kudhibiti mlipuko wa Coronavirus zaidi ya kuja kuililia jumuiya ya kimataifa. Wazo langu tu
 
Serikali hii inatishia usalama wa nchi kwa kuruhusu watalii wa kichina kuingia nchini katika kipindi hiki hatari.

Wamewatekelekeza watoto wetu huko Wuhan lakini wanaruhusu wachina kutsfuta Ukimbizi wa Afya nchini kwa kisingizio cha utalii
Huku kutafuta pesa kwa nguvu za kujengea reli na Stigler's zitaja kutugharimu!
 
Hii ni serikali ya kishetani kabisa......naombea kwa Mungu sn km itatokea mtz wa kwanza atapata huu ugonjwa Basi uanze kwa rais wetu
 
Mungu hawezi kulinda watu wapumbavu, unamkaribisha vipi mchina ambae hata pesa hana, mchina ameanza lini kutalii kama si kukimbia balaa,
 
China maambukizi mapya ynagunduliwa kila siku, mamia ya watu, na sio tu hilo jimbo la Wuhan, Nigeria kuna mgonjwa wa Corona tayari, Algeria pia na Egypt, hao wagonjwa wapya wanaogunduliwa nchi tofauti unadhani wanatokea Wuhan?
Hili si jambo la dhana ni jambo la uhakika! Ndio Mana aliyekoment aliomba uthibitisho iwapo watalii ni wale wa WUHAN?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejuaje kama bado hujapata hayo maambukizi?
Kuna kila dalili maana kwa jinsi hawa ndugu zetu wanavyokuja kwetu kwa wingi na tunavyoshirikiana kwa mengi hasa ukichukulia tekinolojia yetu ya kupambana na maradhi Africa ungekuta imeshasambaa kuliko ilivyo ulaya sasa!
 
Back
Top Bottom