ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,804
Kwa ujinga huu hauko mbali sana utafika tuUkiingia Tanzania tutaanza tafutana.Mask,gloves,vifaa vingine,vipimo,vitanda,kutibu dalili.Yaani itakuwa mass extinction.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ujinga huu hauko mbali sana utafika tuUkiingia Tanzania tutaanza tafutana.Mask,gloves,vifaa vingine,vipimo,vitanda,kutibu dalili.Yaani itakuwa mass extinction.
Shida tunafikiri kama konokono hatuweki kabisa ubongo kwenye kazinYaani Mungu atuhurumie jamani, maisha tunayoishi wabongo tutapukutika, mbona nchi zingine wamezuia wageni kuingia nchini mwao, ccm wanashindwa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu punguza jazba ugonjwa huu nimpango mkakati wa kupunguza idadi kubwa ya watu kama ilivyo UKIMWI na MARALIA na mengine so tulia watupange watakavyo atakayenasa anaondoka atakayebaki atasimulia. Ili swala la serkali kutumia watu wapumbavu kuzungumzia mambo makubwa ya kitaifa tumelilea wenyewe kwa kuongoza nchi kwa matamko badala ya sheria na katiba. Nadhani ni muda muafaka kutenganisha shughli za vyama na Serkali ili kutoa nafasi kwa wataalamu wetu kutumia taaluma zao kwa maslahi mapana ya Taifa letu.Nimeangalia hii video nasikitika namna tulivyo na ujinga wa kupindukia. Dunia nzima inahaha na huu ugonjwa na wanajitahidi kuzuia wasafiri kutoka China.
Sisi kwa ujinga wetu tunajisifu kupokea wachina wengi. Let not be fooled by prosperous tourism industry citzens first.
Ugonjwa ukilipuka hapo hautachagua chama. let work together, raise voice.
Serikali kama haioni umuhimu wa maisha yetu basi tunafaa kuikumbusha kutumia akili. Yaani polepole ndo wakuja kuzungumzia masuala sensitive kama coronavirus kweli.
Halafu tunajisifu eti watalii wameongezeka. Gharama za huu ujinga zitakuwa kubwa sana tusipo zuia leo. Mark my word.
Swali ni kuwa huyu jamaa hajasikia kabisa hatari ya huu ugonjwa kweli?. Poor Africa, poor Tanzania.
View attachment 1371697
Hakuwepo kwenye kikao cha chama leo kweli?Ummy sijui yuko wapi, sijamsikia akisema lolote kuhusiana na ugonjwa huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani atakaeruhusiwa kutangaza kuwa corona iko Tanzania hata km ikitokea akipatikana mtu mwenye ugonjwa huo..Mpaka tusikie kapatikana mgonjwa mmoja wa corona hapa Tanzania ndo tutaamka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu kumbe we kilaza eeh? Dalili zinachukua 14 days kuonekana we unasema siku tatu? Nyie ndo maana hamna mnachojua zaidi ya kudanga tu na kula bata...Bora slay Queen nitafikisha hata siku 14, wewe Marioo siku 3 tu tushakula ubwabwa ya nne tumekusahau umekua chakula cha funza.
Dalili zinaonekana kuanzia siku 14 kwa binadaam ila kwa nyie masokwe ni siku 3 tu ya nne ushatangulia kuzimu,Afu kumbe we kilaza eeh? Dalili zinachukua 14 days kuonekana we unasema siku tatu? Nyie ndo maana hamna mnachojua zaidi ya kudanga tu na kula bata...
Muone kwanza lisura lakee libayaa had apake mekap[emoji57]
Mimi sio sokwe,ni binadamDalili zinaonekana kuanzia siku 14 kwa binadaam ila kwa nyie masokwe ni siku 3 tu ya nne ushatangulia kuzimu,
Hata hiyo ilikupita? Kweli porini ndio makazi yako.
Kipindi west Africa kuna ebola unajua walichotufanyia hao waChina?Hapana hatupaswi kufanya unyanyapaa kwa mtindo wa kutenga kwa hili "isolation" haipaswi kueleweka kama "discrinination".Zipo njia nyingi za kuhakikisha tunajilinda lakini siyo kwa kuwanyanyapaa wengine.
Wachina hawakuomba kupatwa na Corona "wakati na bahati huwapata wote".Hatuwezi kuwazuia Wachina wote hata ambao wapo salama wasiingie Nchini kwa kigezo cha "Corona".
Tunafahamu tutakufa pia lakini tusikwepe kusaidia wenzetu kwa kiasingizio cha kufa.."what saves life is life".
😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😄😄😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaah..., sijawahi cheka kiasi hiki....agghhh!!!Aah wapi. Sisi waafrika hasa watanzania tunaishukuru serikali ya dakta magufuri kwa usugu mkubwa wa gonjwa corona. Ikija watakao kufa ni chadema ila wale wa mashati ya mboga mboga utadunda. Wacha wachina waingie ili kudhibitisha hili. Asante sana dakta magufur.
Sent using Jamii Forums mobile app