technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Nilikuwa sehemu leo asubuhi watu wamechachamaa balaa
Jamaa anasema ilikuwaje mtu akaingia na ugonjwa bila kujulikana na akasema yeye ana pesa ya nauli kumrudisha mtoto nyumbani labda shule imlipie!