Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

letter.jpeg

Kama Serikali sasa inaamini sana katika mambo ya kiroho kuliko kuweka nguvu kwenye utatuzi wa kisayansi, tutegemee nini tena hapo..??

Ndo hapo kunapokuwa na tofauti kati ya kiongozi na mtawala, na uongozi na utawala.. Siasa sio utawala, Siasa ni uongozi..
 
Ni ngumu serikali kuzuia wageni ikifika msimu wa utalii... serikali inaitegemea sana Pato la utalii.,
 
Back
Top Bottom