Mkuu Carlos The Jackal , kwanza post za ma DC ni muendelezo tuu wa the colonial legacy, kwa mfumo wetu, they are redundant post just a wasted of money, time and resources. Hivyo hao viongozi wetu kuwa na colonial mentality kwenye colonial legacy, they are very right.
Kwenye presidential appointments kuna wateuliwa wa aina mbili, 1. Wateuliwa kutoka public service, hawa ni watumishi wa umma, mtu kutoka public service akiteuliwa nafasi yoyote, hawezi kukataa uteuzi. Rais wa JMT ndie mwajiri wa public service yote, ukiteuliwa na rais na kukataa uteuzi, ni kosa kubwa linaloitwa insubordination, adhabu yake ni summary dismissals with no right to appeal!.
Hivyo mtumishi wa umma anapoteuliwa na rais kushika wadhifa wowote, ni lazima atekeleze au a hand over resignation letter yake na kupisha kuendelea na mambo yake. Hivyo hao waalimu wawili waliokataa uteuzi wa rais, kama nafasi zao kwenye chama cha waalimu ni ajira rasmi, na baada ya kupata nafasi hizo, walijiuzulu ualimu, then they are safe kukataa uteuzi wa something less than what they are, lakini kama nafasi zao sio ajira rasmi ni vyao tuu, lakini bado ni waajiriwa wa utumishi wa umma, kukataa uteuzi wa Mkuu wa nchi ni insubordination of the highest nature and they are finished!.
Kuna uteuzi wa rais kwa watu kutoka private sector, na independent organisations vikiwemo trade unions na professional associations, to avoid unnecessary embarrassment kumu embarrass the appointing authority, mtu kabla hujateuliwa unaulizwa kama uko tayari ndipo jina linapelekwa, unateuliwa.
Wako watu wengi tuu huwa wanaulizwa na wana kataa. Na kwa wasiojua, hii sio mara ya kwanza kwa watu kukataa uteuzi wa u DC, General Ulimwengu aliwahi kuteuliwa DC, sikumbuki vizuri kama ni aliripoti akaona kuko hovyo, akaandika barua kujiuzulu na kuwaachia u DC wao!.
Jielimishe zaidi kuhusu presidential appointment powers, rais ni dual personality rais ni mtu hivyo mambo mengine rais anakataliwa tuu kama mtu mwingine yeyote anavyo kataliwa, ila rais kama presidential institution, hawezi kukataliwa kitu, ukimkatalia, unakataliwa!.
Nakikumbuka kisa kimoja cha rais fulani mpenda mambo fulani, akamuita mteuliwa fulani akambomu jambo fulani la binafsi, mteuliwa huyo alikuwa very bold!, alimkatalia rais wa nchi hilo jambo!, na akaondoka, hivyo rais huyo alikasirika sana, akatumia rungu lake ya presidential institution, akanyanyua simu kutoa maelekezo fulani mahali, yule mtumishi akashughulikiwa!.
Wanabodi, Bandiko hili ni kufuatia watu fulani humu wenye viherehere na vimbelembele kutaka kuhoji kila kitu sasa wameingilia kuhoji uwezo wa serikali ya JPM kufanya vetting kabla ya teuzi fulani fulani, kumbe hawajui kuwa now days vetting is nothing!. Kinachoangaliwa sasa ni uwezo wa utendaji...
Magufuli alisem CWT ni kichaka cha upigaji kujizihirisha hilo wapigaji wamegomea kuachia kiti na kwa mfano tu serikali mwezi huu isitishe Makato kwa walimu wote kisha itoe muongozo kuwa mwalimu yupo huru kujiunga na chama cha walimu
Kuna protocol mkuu athari kwa mtumishi wa umma kukata alikotumwa na bosi wake ni kubwa.Sahau nchi nyingine wanafanyake deal mifumo ya utawala wetu na sheria za utumishi zekoje kwetu.
DC sio kaz ya utumishi, ni nafasi za kisiasa... acha kuish kwa woga mkuu, na ndio maana muda wowote unaweza tenguliwa bila notice... acheni siasa nyepesi
Kwenye presidential appointments kuna wateuliwa wa aina mbili, 1. Wateuliwa kutoka public service, hawa ni watumishi wa umma, mtu kutoka public service akiteuliwa nafasi yoyote, hawezi kukataa uteuzi. Rais wa JMT ndie mwajiri wa public service yote, ukiteuliwa na rais na kukataa uteuzi, ni kosa kubwa linaloitwa insubordination, adhabu yake ni summary dismissals with no right to appeal!.
Hivyo mtumishi wa umma anapoteuliwa na rais kushika wadhifa wowote, ni lazima atekeleze au a hand over resignation letter yake na kupisha kuendelea na mambo yake. Hivyo hao waalimu wawili waliokataa uteuzi wa rais, kama nafasi zao kwenye chama cha waalimu ni ajira rasmi, na baada ya kupata nafasi hizo, walijiuzulu ualimu, then they are safe kukataa uteuzi wa something less than what they are, lakini kama nafasi zao sio ajira rasmi ni vyao tuu, lakini bado ni waajiriwa wa utumishi wa umma, kukataa uteuzi wa Mkuu wa nchi ni insubordination of the highest nature and they are finished!.
Kuna uteuzi wa rais kwa watu kutoka private sector, na independent organisations vikiwemo trade unions na professional associations, to avoid unnecessary embarrassment kumu embarrass the appointing authority, mtu kabla hujateuliwa unaulizwa kama uko tayari ndipo jina linapelekwa, unateuliwa.
Wako watu wengi tuu huwa wanaulizwa na wana kataa. Na kwa wasiojua, hii sio mara ya kwanza kwa watu kukataa uteuzi wa u DC, General Ulimwengu aliwahi kuteuliwa DC, sikumbuki vizuri kama ni aliripoti akaona kuko hovyo, akaandika barua kujiuzulu na kuwaachia u DC wao!.
Jielimishe zaidi kuhusu presidential appointment powers, rais ni dual personality rais ni mtu hivyo mambo mengine rais anakataliwa tuu kama mtu mwingine yeyote anavyo kataliwa, ila rais kama presidential institution, hawezi kukataliwa kitu, ukimkatalia, unakataliwa!.
Nakikumbuka kisa kimoja cha rais fulani mpenda mambo fulani, akamuita mteuliwa fulani akambomu jambo fulani la binafsi, mteuliwa huyo alikuwa very bold!, alimkatalia rais wa nchi hilo jambo!, na akaondoka, hivyo rais huyo alikasirika sana, akatumia rungu lake ya presidential institution, akanyanyua simu kutoa maelekezo fulani mahali, yule mtumishi akashughulikiwa!.
Wanabodi, Bandiko hili ni kufuatia watu fulani humu wenye viherehere na vimbelembele kutaka kuhoji kila kitu sasa wameingilia kuhoji uwezo wa serikali ya JPM kufanya vetting kabla ya teuzi fulani fulani, kumbe hawajui kuwa now days vetting is nothing!. Kinachoangaliwa sasa ni uwezo wa utendaji...
Kwenye presidential appointments kuna wateuliwa wa aina mbili, 1. Wateuliwa kutoka public service, hawa ni watumishi wa umma, mtu kutoka public service akiteuliwa nafasi yoyote, hawezi kukataa uteuzi. Rais wa JMT ndie mwajiri wa public service yote, ukiteuliwa na rais na kukataa uteuzi, ni kosa kubwa linaloitwa insubordination, adhabu yake ni summary dismissals with no right to appeal!.
Hivyo mtumishi wa umma anapoteuliwa na rais kushika wadhifa wowote, ni lazima atekeleze au a hand over resignation letter yake na kupisha kuendelea na mambo yake. Hivyo hao waalimu wawili waliokataa uteuzi wa rais, kama nafasi zao kwenye chama cha waalimu ni ajira rasmi, na baada ya kupata nafasi hizo, walijiuzulu ualimu, then they are safe kukataa uteuzi wa something less than what they are, lakini kama nafasi zao sio ajira rasmi ni vyao tuu, lakini bado ni waajiriwa wa utumishi wa umma, kukataa uteuzi wa Mkuu wa nchi ni insubordination of the highest nature and they are finished!.
Kuna uteuzi wa rais kwa watu kutoka private sector, na independent organisations vikiwemo trade unions na professional associations, to avoid unnecessary embarrassment kumu embarrass the appointing authority, mtu kabla hujateuliwa unaulizwa kama uko tayari ndipo jina linapelekwa, unateuliwa.
Wako watu wengi tuu huwa wanaulizwa na wana kataa. Na kwa wasiojua, hii sio mara ya kwanza kwa watu kukataa uteuzi wa u DC, General Ulimwengu aliwahi kuteuliwa DC, sikumbuki vizuri kama ni aliripoti akaona kuko hovyo, akaandika barua kujiuzulu na kuwaachia u DC wao!.
Jielimishe zaidi kuhusu presidential appointment powers, rais ni dual personality rais ni mtu hivyo mambo mengine rais anakataliwa tuu kama mtu mwingine yeyote anavyo kataliwa, ila rais kama presidential institution, hawezi kukataliwa kitu, ukimkatalia, unakataliwa!.
Nakikumbuka kisa kimoja cha rais fulani mpenda mambo fulani, akamuita mteuliwa fulani akambomu jambo fulani la binafsi, mteuliwa huyo alikuwa very bold!, alimkatalia rais wa nchi hilo jambo!, na akaondoka, hivyo rais huyo alikasirika sana, akatumia rungu lake ya presidential institution, akanyanyua simu kutoa maelekezo fulani mahali, yule mtumishi akashughulikiwa!.
Wanabodi, Bandiko hili ni kufuatia watu fulani humu wenye viherehere na vimbelembele kutaka kuhoji kila kitu sasa wameingilia kuhoji uwezo wa serikali ya JPM kufanya vetting kabla ya teuzi fulani fulani, kumbe hawajui kuwa now days vetting is nothing!. Kinachoangaliwa sasa ni uwezo wa utendaji...
Hao jamaa wa CCW wanatunishiana misuli na serikali....wameteuliwa makusudi kuwatoa pale....maana yaliyo nyuma yao makubwa sana....walipiga hela za chama ....wakapata kesi wakafungwa ( kifungo kidogo....) kutumia mipesa wakachezesha....wamekaa jela siku 3 tu watapata parole ( shangaa) ...sijui kama vigezo vilitimia ikiwemo kujirekebisha na tabia njema gerezani etc....wakakata rufaa...wakashinda wakiwa nje .....wakarudi kugombea tena nafasi zao wakashinda....mpaka hapo nadhani umeelewa....serikali wanahaha kuwatoa pale wasije wakawa threat kwa serikali wana nguvu sana .....wana pesa pia .....lengo kuwatoa ....CCWT...! Mengine ni story tu ....
Nashangaa sana jambo moja. Mtu kabla hujampa uteuzi wowote busara ni kumpigia simu na kumtaarifu. Sasa hiina hili wala lile unapangiwa Geita. Ukumbuke
1. Unatoka Dar es salaam wewe mke wa mtu na una watoto na makazi Dar. Sasa unampa mtu week aache ndoa na vingine akatumikie serikali mbali huko ukute hajawahi kufika
2. Inamtoa mtu kwenye cheo kisicho na maehaka unampa uDC anajua mda wowote anatumbuliwa pia labda hana uwezo wa kuwa DC. Kipimo gani umempima kuonyesha kuwa Anaqualify?
3. Mtu Ana kazi yenye marupurup na mshahara mzuri. Unamuamisha kwenye kazi yenye mshahara mdogo. Hata kama ni mimi nisingeweza kukubali. Unajuaje kama Ana mikopo tele na mshahara anaoufata hauendani na kima cha chini cha marejesho ya mikopo. .
walimu kiasili wanafit kwenye taaluma yeyote hata wasizosomea kama uhasibu, uchungaji, usheikh uanasiasa na nyingine nyingi. Ndio maana huwa wanakaimu nafasi ya mtendaji wa kijiji, kata na hata kukaimu nafasi ya mkurugenzi
Swali ni je DC ni cheo cha kitaaluma au cha kisiasa? Mwalimu asilazimishwe kuacha taaluma yake kuingia kwenye siasa ambapo wakati wowote anaweza kutumbuliwa kwa matakwa ya rais
Jenista anatakiwa awasaidie walimu katika sakata hili mana sababu imepatikana tayari.
Yaani anatakiwa aachane nao hao viongozi waliokataa, ila sasa anatakiwa atume waraka nchi nzima kwa wakurugenzi kwamba, walimu wasibughuziwe kujiunga na chama chochote cha walimu. Hilo ndio litakuwa anguko la CWT!
Jenista tafadhali usihangaike na hao viongozi wa CWT, wewe nenda mbela zaidi ukatangaze ni ruksa mwalimu kujiunga chama chochote cha walimu.
Nilisikia katibu wa CWT analipwa 7.9M, wakati mkuu wa wilaya analipwa 3-4M. Kumbuka, mkuu wa wilaya ana kazi nyingi za kufanya kuliko ukiwa CWT.
Halafu makatibu wa kwenye matawi (halmashauri) wanalipwa 2M nje ya posho.
Pia, CWT inakusanya zaidi ya 2B kila mwezi kutoka kwa walimu.
chama cha walimu kina mihela ya bure ya kula ndiomaana wamekataa ila ingekuwa enzi za jiwe anavunja chama anaamuru waingie tughe ama talgwu mchezo umeisha ukienda kushitaki kesi inatupwa ndio unajua hujui, jamaa alijikuta mungu sana yule, ila hata hawa watashughulikiwa tu ni suala la muda tu believe me
Wateule wa nafasi za Ukuu wa Wilaya ambao inasemekana wamekataa uteuzi huo watatakiwa kutoa maelezo ya kwa nini wameshindwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya uapisho.
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema wanasubiri taarifa kutoka kwa wizara zinazohusika ili waangalie taratibu na sheria zinasema nini juu ya viongozi wa Chama cha Walimu Nchini (CWT) kutotokea kula kiapo cha ukuu wa wilaya katika mikoa husika.
Viongozi walioshindwa kuapa ni Rais wa CWT, Leah Ulaya ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita na Katibu Mkuu wa chama hicho, Japheth Maganga aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Kagera
Katika kile kinachoonekana kutokuwepo kwa taarifa rasmi juu ya udhuru wao, Waziri Mhagama amesema yeye pia ameona kwenye vyombo vya habari kuwa wateule hao hawajaripoti katika viapo vyao kama walivyofanya wateule wengine katika maeneo yao ya kazi.
Amesema wateule hao walitakiwa kutii uteuzi huo kwa sababu katiba inamruhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Sululu Hassan kufanya hivyo.
Kumekuwa na mijadala katika mitandao ya kijamii kwa vigogo wa Chama cha Walimu Nchini (CWT) kutofika katika vituo vyao vya kazi kwa uapisho.
Amesema wanachosubiri ni taarifa rasmi kutoka wizara zinazohusika wao yaani Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu.
Jenista anatakiwa awasaidie walimu katika sakata hili mana sababu imepatikana tayari.
Yaani anatakiwa aachane nao hao viongozi waliokataa, ila sasa anatakiwa atume waraka nchi nzima kwa wakurugenzi kwamba, walimu wasibughuziwe kujiunga na chama chochote cha walimu. Hilo ndio litakuwa anguko la CWT!
Jenista tafadhali usihangaike na hao viongozi wa CWT, wewe nenda mbela zaidi ukatangaze ni ruksa mwalimu kujiunga chama chochote cha walimu.
Nilisikia katibu wa CWT analipwa 7.9M, wakati mkuu wa wilaya analipwa 3-4M. Kumbuka, mkuu wa wilaya ana kazi nyingi za kufanya kuliko ukiwa CWT.
Halafu makatibu wa kwenye matawi (halmashauri) wanalipwa 2M nje ya posho.
Pia, CWT inakusanya zaidi ya 2B kila mwezi kutoka kwa walimu.
Mbona kuna Vyama vingi sanaa Nchini Madaktari wana vyama.. Wafamasia wana vyamaa why CWT ndo kiwe chama pekee kinachokata Pesa direct toka kwenye Mshahara wa waalimu????? Why why???? Huu ni wiziiii na inapaswaa Waache Chap.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.