Kwenye attachement barua inasema ni RE-PRINT . Sasa nielewe nn na wakati dhana zote mbili nimeelezea kuwa kuprint notes Mpya kwa mwonekano kwa ajili ya kubadilishana zilizopo HAINA MADHARA ZAIDI YA FAIDA ila kuprint notes kwa ajili ya kuingiza kwenye uchumi Hapo ndio utata kutokana na Hali ya uchumi WA SasaFungua hiyo attachment utaelewa.
Hapangiwi yule.
Wacha tuone maana itafika point ataona aibu kuomba samahani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mods wanaruhusu VP taarifa kama hizi kutoka but suluhisho la haraka lazima serikali itafute namna ya kurestore confidence kwa wafanyabiashara na isitishe kabisa miradi yake hiyo ya matrion kwa pesa zetu badala yake watarget miradi midogo midogo ya kijamii ili pesa irudi kwenye mzunguko vizuri kukusanya kodi kwa kukomoana waache kabisaHii ni FAKE NEWS PER EXCELLENCE!!
Yap but unatakiwa ufungue account ili ziwe zinasomeka kwa denomination ya dollar but ukiwauliza watakupa maelezo mazuriHivi mkuu kwalocal bank kama nmb naweza kuwa naweka pesa ila kwadola yaani naenda nahela zakibongo ila nikifika nawaambia waziweke kwamtindo wadola inawezekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
OK mkuu ubarikiweYap but unatakiwa ufungue account ili ziwe zinasomeka kwa denomination ya dollar but ukiwauliza watakupa maelezo mazuri
Umechambua vizuri mkuuKichwa cha Habari na Habari yenyewe Kuna makosa ya uandishi Au kupotoshwa. Kuna vitu viwili lazima vieleweke moja ni KUPRINT NOTE MPYA kwa maana ya mwonekano mpya. pili ni kuprint notes hizi zinazotumika mpya ziingizwe kwenye uchumi. Kuprint note mpya kwa maana ya mwonekano haina madhara kabisa kiuchumu Sana Sana itasaidia kiuchumu .HILI LA PILI NDIO JIPU. yaan kuprint notes hizi zinazotumika Hapo ndio hatari Sana.ukiangalia hali ya uchumi kwa Sasa haaitaji kuongezea fedha kwenye mzunguko kwa njia ya printing itatupeleka Zimbabwe kabisa bila chenga .serikali ijikite kukopa Au kutafuta wawekezaji wakubwa na stimulas package zingine. Serikali na BOT wanayo haki ya kuprint notes zingine lakini si kwa Sasa ambapo wote ni mashahidi benki zinafungwa na kupost profit kushuka pia biashara Kubwa nyingi zinafungwa na Hakuna wawekezaji wapya wakubwa. Serikali iache uchumi ujiendeshe wenyewe kwa kuwa na uwiano halisi baina ya production na money supply. STOP INJECTING NEW NOTES IN THE ECONOMY
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wasiofahamu mimi ni mtu mkubwa hapa Bongo ndiye niliyeshinikiza noti mpya zitengenezwe sababu nataka ziwe na hii sura yangu
Walalajoi msijali oesa za kuprint ni juu yangu
Itabidi nirudi kwenye bata tredi..sitaweza kutembea na jiwe
Lakini hatupaswi kuwa na taharuki kubwa coz Tzn haijawekewa vikwazo vya uchumi kusema tuwe kama Zimbabwe maana tuna bandari na mbuga utalii pia nchi marafiki wanaweza kupiga jeki ila uchumi uko slaggish na pengine wafanye restructuring tu badala ya kuchapa mpya zitaleta mfumoko wa bei but hope wataweka mambo kwenye raiti traki
Haya bana ngoja tuwaache wasomi wetu wauchumi waliokoe jahaziLakini hatupaswi kuwa na taharuki kubwa coz Tzn haijawekewa vikwazo vya uchumi kusema tuwe kama Zimbabwe maana tuna bandari na mbuga utalii pia nchi marafiki wanaweza kupiga jeki ila uchumi uko slaggish na pengine wafanye restructuring tu badala ya kuchapa mpya zitaleta mfumoko wa bei but hope wataweka mambo kwenye raiti traki
Kwa mlioamua kulishwa matango pori [takataka] ya mkimbizi wa kujitakia Ansbert Ngurumo poleni. Bora mngejua kuwa suala la kuchapisha noti mpya pindi zilizopo kwenye mzunguko zikichakaa ni jambo la kawaida. Na hili ndili serikali/BoT inaloshughulikia. Aidha, wazabuni kulalamika iwapo wataona dalili zozote za kukiukwa taratibu za kisheria wakati wa mchakato wa kumpata mzabuni ni jambo la kawaida pia kwenye good governance of public procurement. Hapa hakuna pesa mpya inayochapishwa kuongezwa kwenye mzunguko wala kubadilishwa bali ni normal replenishment of worn out (wear and tear/depreciation) of old bank notes. Lakini tunaweza kutarajia pia kitendo hiki kuongeza dhamani ya shilingi iwapo BoT/Serikali itaamua kuondokana na ma-zero [000] kwenye currency ya Tanzania kama walivyofanya Ghana kwa seidi yao.
Poleni vilaza na nyumbu msiojua monetary economics.