Tetesi: Serikali mbioni kuchapisha noti mpya, kuna hatari ya kuelekea kwa Mugabe, harufu ya tenda za kifisadi zatawala

Tetesi: Serikali mbioni kuchapisha noti mpya, kuna hatari ya kuelekea kwa Mugabe, harufu ya tenda za kifisadi zatawala

Fungua hiyo attachment utaelewa.
Kwenye attachement barua inasema ni RE-PRINT . Sasa nielewe nn na wakati dhana zote mbili nimeelezea kuwa kuprint notes Mpya kwa mwonekano kwa ajili ya kubadilishana zilizopo HAINA MADHARA ZAIDI YA FAIDA ila kuprint notes kwa ajili ya kuingiza kwenye uchumi Hapo ndio utata kutokana na Hali ya uchumi WA Sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapangiwi yule.
Wacha tuone maana itafika point ataona aibu kuomba samahani

Sent using Jamii Forums mobile app

faza wakat anaona aibu kuomba msamaha ss tutakuaa tushaumiaa vyakutoshaa kwakua nchi yetu haina system nzur yakupaza sauti juu yakitu kama hichi wacha tuendelee kulalamika jamii forums tu pate amani ya moyo tukiwa tunasubili kwa lolote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii ni FAKE NEWS PER EXCELLENCE!!
Sasa mods wanaruhusu VP taarifa kama hizi kutoka but suluhisho la haraka lazima serikali itafute namna ya kurestore confidence kwa wafanyabiashara na isitishe kabisa miradi yake hiyo ya matrion kwa pesa zetu badala yake watarget miradi midogo midogo ya kijamii ili pesa irudi kwenye mzunguko vizuri kukusanya kodi kwa kukomoana waache kabisa
 
Kutokea kama Kwa Mugabe Its Very Difficult Hii Nchi Na Wachumi Wataifa Naonah Wanajitahidi Sanah Kubalance Inflation Ili Iweze Kustimulate Ukuaji Wa Uchumi Ila Sidhani Kama Kuna Inflation Ya Kiasi Kikubwa Inatokea Kama Tukiprint Hela Mpya Bank Zitoe Mkopo Kwa Mikopo Endelevu Ya Kiuchumi Hapo Tutasonga Mbele Na Pia Fedha Zielekezwe Kwenye Miradi Ya Muhimu Hapo Tutafika Mbele Tu Ukiangalia Kweli Business Climate yetu inayumba kidgo kutokana na fedha kupotea hivyo basi hela zikiwa printed ita stimulat ukuaji wa uchimu just for my view wananjamvi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Watu wanatafutwa hapa.. Wale walioficha pesa Majumbani.. Litatugharimu hili Swala.
 
Anataka afute sifuri 1000 iwe sawa na 10000
 
Kichwa cha Habari na Habari yenyewe Kuna makosa ya uandishi Au kupotoshwa. Kuna vitu viwili lazima vieleweke moja ni KUPRINT NOTE MPYA kwa maana ya mwonekano mpya. pili ni kuprint notes hizi zinazotumika mpya ziingizwe kwenye uchumi. Kuprint note mpya kwa maana ya mwonekano haina madhara kabisa kiuchumu Sana Sana itasaidia kiuchumu .HILI LA PILI NDIO JIPU. yaan kuprint notes hizi zinazotumika Hapo ndio hatari Sana.ukiangalia hali ya uchumi kwa Sasa haaitaji kuongezea fedha kwenye mzunguko kwa njia ya printing itatupeleka Zimbabwe kabisa bila chenga .serikali ijikite kukopa Au kutafuta wawekezaji wakubwa na stimulas package zingine. Serikali na BOT wanayo haki ya kuprint notes zingine lakini si kwa Sasa ambapo wote ni mashahidi benki zinafungwa na kupost profit kushuka pia biashara Kubwa nyingi zinafungwa na Hakuna wawekezaji wapya wakubwa. Serikali iache uchumi ujiendeshe wenyewe kwa kuwa na uwiano halisi baina ya production na money supply. STOP INJECTING NEW NOTES IN THE ECONOMY

Sent using Jamii Forums mobile app
Umechambua vizuri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK mkuu ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hatupaswi kuwa na taharuki kubwa coz Tzn haijawekewa vikwazo vya uchumi kusema tuwe kama Zimbabwe maana tuna bandari na mbuga utalii pia nchi marafiki wanaweza kupiga jeki ila uchumi uko slaggish na pengine wafanye restructuring tu badala ya kuchapa mpya zitaleta mfumoko wa bei but hope wataweka mambo kwenye raiti traki
 
Lakini hatupaswi kuwa na taharuki kubwa coz Tzn haijawekewa vikwazo vya uchumi kusema tuwe kama Zimbabwe maana tuna bandari na mbuga utalii pia nchi marafiki wanaweza kupiga jeki ila uchumi uko slaggish na pengine wafanye restructuring tu badala ya kuchapa mpya zitaleta mfumoko wa bei but hope wataweka mambo kwenye raiti traki
Haya bana ngoja tuwaache wasomi wetu wauchumi waliokoe jahazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi cielewi naona wachapishe tu mbona hali mbaya sana
 
Kwa mlioamua kulishwa matango pori [takataka] ya mkimbizi wa kujitakia Ansbert Ngurumo poleni. Bora mngejua kuwa suala la kuchapisha noti mpya pindi zilizopo kwenye mzunguko zikichakaa ni jambo la kawaida. Na hili ndilo serikali/BoT inaloshughulikia. Aidha, wazabuni kulalamika iwapo wataona dalili zozote za kukiukwa taratibu za kisheria wakati wa mchakato wa kumpata mzabuni ni jambo la kawaida pia kwenye good governance of public procurement. Hapa hakuna pesa mpya inayochapishwa kuongezwa kwenye mzunguko wala kubadilishwa bali ni normal replenishment of worn out (wear and tear/depreciation) of old bank notes. Lakini tunaweza kutarajia pia kitendo hiki kuongeza dhamani ya shilingi iwapo BoT/Serikali itaamua kuondokana na ma-zero [000] kwenye currency ya Tanzania kama walivyofanya Ghana kwa seidi yao.
Poleni vilaza na nyumbu msiojua monetary economics.
 
Kwa mlioamua kulishwa matango pori [takataka] ya mkimbizi wa kujitakia Ansbert Ngurumo poleni. Bora mngejua kuwa suala la kuchapisha noti mpya pindi zilizopo kwenye mzunguko zikichakaa ni jambo la kawaida. Na hili ndili serikali/BoT inaloshughulikia. Aidha, wazabuni kulalamika iwapo wataona dalili zozote za kukiukwa taratibu za kisheria wakati wa mchakato wa kumpata mzabuni ni jambo la kawaida pia kwenye good governance of public procurement. Hapa hakuna pesa mpya inayochapishwa kuongezwa kwenye mzunguko wala kubadilishwa bali ni normal replenishment of worn out (wear and tear/depreciation) of old bank notes. Lakini tunaweza kutarajia pia kitendo hiki kuongeza dhamani ya shilingi iwapo BoT/Serikali itaamua kuondokana na ma-zero [000] kwenye currency ya Tanzania kama walivyofanya Ghana kwa seidi yao.
Poleni vilaza na nyumbu msiojua monetary economics.

Umefafanua vizuri mkuu, safi sana!!
 
Back
Top Bottom