Kwa mlioamua kulishwa matango pori [takataka] ya mkimbizi wa kujitakia Ansbert Ngurumo poleni. Bora mngejua kuwa suala la kuchapisha noti mpya pindi zilizopo kwenye mzunguko zikichakaa ni jambo la kawaida. Na hili ndili serikali/BoT inaloshughulikia. Aidha, wazabuni kulalamika iwapo wataona dalili zozote za kukiukwa taratibu za kisheria wakati wa mchakato wa kumpata mzabuni ni jambo la kawaida pia kwenye good governance of public procurement. Hapa hakuna pesa mpya inayochapishwa kuongezwa kwenye mzunguko wala kubadilishwa bali ni normal replenishment of worn out (wear and tear/depreciation) of old bank notes. Lakini tunaweza kutarajia pia kitendo hiki kuongeza dhamani ya shilingi iwapo BoT/Serikali itaamua kuondokana na ma-zero [000] kwenye currency ya Tanzania kama walivyofanya Ghana kwa seidi yao.
Poleni vilaza na nyumbu msiojua monetary economics.