Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

Ni heri iwe majaribio kuliko iwe kweli.
Lakini hata kama ni majaribio muhimu kutoa taarifa kwamba kesho kutakuwa na jaribio fulani wananchi wawe watulivu.
 
Ujinga mtupu. Eti majaribio, kila siku majaribio na ikitokea ajali ya kweli hamuokoi hata abiria 1. Stupid kabisa

Huo utayari mnaojipima ni utayari wa nini?
 
Ni sawa na mtu kujitekenya
 
Wewe ni mpumbavu mkuu, nimeweka taarifa kama tetesi maana Kuna mtu kaniambia, ajabu unanitukana kua tuendelee kukaa vijiweni kujadili wanaume, yote hayo ya Nini??? Sasa taarifa imekua kweli kwanini wewe ulikua unatukana bila kujua kinachoendelea?
Ila mkuu badilisha basi Jina la ID yako. Duh Senior Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…