Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

Hata huko mikoani mwisho kabisa nimewahi kugusa 200 tu.

Mjini nnakua hapa

View attachment 3086142

Tena inabidi nimtafute RRONDO aniangalizie hizo errors, mfumo wa umeme haufanyi kazi, ni full mwarabu no EV mode.
Mkuu kua serious na izo warning signs. Bora iyo ya Brake ila izo mbili (check engine na hybrid system) utaua hiyo Aqua.
 
Na foleni hii ya barabara ya Dar Moro?! Au zile six ways zilishajengwa?!
 
Kwa miundombinu (barabara) gani? Hacha kujitoa ufaham basi?. Pengine kwa manufaa ya wengine, barabara zetu hazi-suppport speed zaidi ya 100km/h
 
Kama una mbavu vuta GTR... mkuu utakuwa kati watu wachache sana wenye kumiliki hiyo chuma hapa Tanzania.. utunyooshe
Wacha nijitafute sasa hivi naishia kuendesha pikipiki tu.
Ila soon nitajipata ,ile gari nachoikubali ina stamina hasa kwenye drift ni nzito haipepesuki halafu nyepesi kwenye mwendo yani ipo kama BMW M au Toyota supra.
Na naskia ni tamu ukiipata ikiwa na 5 cylinder.
 
Pambania kombe chuma ya kwenda ile na ina hatari kweli kweli
 
Sasa si uanze hata kumiliki vitz mkuu..kama mpka sasa unamiliki boda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ