Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Weka ushahidi wa hicho unachokisema mheshimiwa, au ndo unatumia Uhuru wako wa kuongea bila kujali unachoongea nini. Hapa ndo tulipofikia km Taifa, mtu anaropoka tu bila hata kuwa na ukweli was kile anachokizingza.

Wapi watendaji wanalindwa na polis kwa maslahi ya CCM, wapi walinzan wanapigwa. Ndg yangu tuliombee Taifa hili Aman tuache itikadi na ushabiki wa kivyama usio na tija.tusipandikizane chuki miongoni mwetu
 
Ushahidi wa lipi?
 
Hata mimi nimekuwa na wasiwasi nae tangu mwanzo wa uzi hadi mwisho yeye ni dau tu tena hataki chini ya mil 250 haaaaaahaaaaa
Asije akasingizia watu wakapata shida kumbe, hana uhakika
 
Wewe pia mkuu huna tofauti na hao uliowataja.Unafanya kazi ya uchonganishi kupitia uzi huu.Unapandikiza chuki kubwa.Unapaswa kuacha tabia hii mara moja mkuu!
 
Kwani hauijui CCM! Waliofanya uhalifu na kujiunga na CCM walisamehewa hivyo na Kigogo 2014 akijiunga na CCM utaona wakimfanyia tafrija, shabashii!
 
Ni muhimu tujiulize kitu gani kilimleta kigogo?Kigogo alianza lini harakati zake?Inaweza kuwa mwanzo mzuri wa kumtambua.Pia itasaidia kujua nini cha kufanya ili mbeleni wasitokee vigogo wengine
 
Lugola anajua kutumia internet?
Hiii inatakiwa ifunguliwe thread yake kuhusu elimu ya Mh. Kangi Lugola na elimu yake kuhusu kama anajua Maswala ya internet
[emoji363][emoji3462][emoji377][emoji409][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yeye kigogo katwit amesema lugola akimaliza arobain yake amuambie, huu niushaid tosha ya kua lugola si mtu wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…