Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Waambie huenda wakauelewa maana aliwahi tweet akawaambia mmetuma watu kwenda kusoma wanikamate bado hamniwezi.
Kazi bado ni kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[SUB]Ndiyo yule yule mzee, sema huyu jamaa ni mtalaam sana kwa IT ni vingumu sana kumnasa.. Kama MTU anatumia tool kama hizi mnafikiri ni rahisi kumkamata?View attachment 1555788[/SUB]
Kigogo wa mwanzo alikuwa atanii wala hasubirishi... akisema nafanya anafanya... akisema naleta analeta... lakini huyu wa sasa... anachofanya ni kutokupoteza wafuasi wa akaunti ya Kigogo.... pengine kwa matumizi mengine...

Kuna mahali serikali wamefanikiwa kumdhibiti Kigogo... hongera sana kwao
 
Sio kweli,tokea mwanzo alikuwa controversial ni kama vile acc sio ya mtu mmoja.Kujambisha kawaida yake.
 
Jipe moyoo[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…