Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Hivi nyumba ya prof j ilikua wapi?
 
Una maoni gani juu ya kigogo kwanini serikali imeshindwa kumkamata?

Sent from my itel W5504 using JamiiForums mobile app
 
Una maoni gani juu ya kigogo kwanini serikali imeshindwa kumkamata?

Sent from my itel W5504 using JamiiForums mobile app
Sijui sababu, kama kweli hajakamatwa, ila uhakika wangu nii kwamba siyo eti Serikali hawajui mahali alipo, hapana. Ni kwa sababu anatumia mtandao wa Kompyuta. Mtu hawezi kuwa anatumia mtandao wa Kompyuta halafu wakati huo huo eti akawa tena hajulikani alipo., hiki kitu hakipo na wala hakiwezekani!
 
Four ways to hide your IP address:
  • Use a VPN Service
  • Use Tor Browser
  • Use a Proxy Server
  • Use Free/Public WiFi
 
We ni kiazi tu hakuna ulijualo.....unabisha ushuzi kabisaa.....yani Kuna vitu simple ambavyo haihitaji uwe IT expert kuvijua...ila kwakua wew ni bata Maji unabishabisha tu
 
Four ways to hide your IP address:
  • Use a VPN Service
  • Use Tor Browser
  • Use a Proxy Server
  • Use Free/Public WiFi
It is true you can hide to everybody else, the details of your communications in the network, except your ISP.Hilo mimi sikatai isipokuwa ninachosema ni kuwa huwezi ukaficha sehemu uliyopo wewe kama wewe, labda ufichwe na ISP. Issue hapa ni kwamba, je pamoja na kuficha details za mtandao unaotumia, unaweza pia wewe kama wewe ukaficha location ya mahali unapokuwa upo, bila kuwa na msaada wa ISP? Kuficha IP address hakukufanyi usijulikane na ISP wako kwamba unafanya mawasiliano kutokea wapi.
Hata Public WiFi nayo pia inaye service provider. Hakuna mawasilano ambayo yako hewani tu na hayana Service Provider. Lazima kunakuwa kuna server iko mahali inahost mawasiliano hayo
 
We ni kiazi tu hakuna ulijualo.....unabisha ushuzi kabisaa.....yani Kuna vitu simple ambavyo haihitaji uwe IT expert kuvijua...ila kwakua wew ni bata Maji unabishabisha tu
Unaonekana unanifahamu phsically!
 
Reactions: 30P
Mkuu, tasfiri halisi ya neno virtual kwenye IT ni hii "not physically existing as such but made by software to appear to do so".

Kwa tafsiri hiyo hapo juu, mtu anapotumia VPN ana gain internet access kwa kutumia device ya mtu mwingine bila hata muhusika mwenyewe kujua kinachoendelea.

Na aki log off then aka log in tena ata access internet kwa kupitia device nyingine tena tofauti na ile ya awali. Yaani anatumia different servers (ISPs) zilizo sehemu tofauti tofauti.

Kwa kifupi ISP angeweza kumtambua yule mteja wake halisi tu na siyo huyu 'virtual user' anayetumia internet kwa 'uwizi'.

Sasa mtu wa namna hiyo unampataje kirahisi hivyo?
 
Sasa mtu akitumia VPN halafu akaenda Twitter, ISP katoa internet connection tu, traffic iko scrambled na encryption kwenye VPN server, mteja kapewa IP address mpya na VPN server, ISP atajuaje detail za connection hiyo wakati ziko encrypted?
 
Mkuu hapa unamaanisha kwa mfano mtu yupo Dubai anaweza kutumia internet ya Vodacom Tanzania kwa msaada wa VPN?
 
Sasa mtu akitumia VPN halafu akaenda Twitter, ISP katoa internet connection tu, traffic iko scrambled na encryption kwenye VPN server, mteja kapewa IP address mpya na VPN server, ISP atajuaje detail za connection hiyo wakati ziko encrypted?
Hili swali sasa angalau swali la msingi, nipe muda. Angalau sasa wewe unaanza kuongea, hawa wengine walikuwa wanabwabwaja tu!
 
Reactions: 30P
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…