Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Nadhani hujaielewa vizuri concept ya VPN, na ningeshauri ujaribu kuconfigure practically (kama hujawahi) utaelewa vizuri ninacho maanisha.

Ungekuwa na uwezo pia wa kufanya security auditing ungejaribu kuona kama utaona hiyo mac address ya VPN. Kwa kifupi VPN haiwezi kuwa na Mac address sababu sio kitu kinacho exist practically.
 
Labda inawezekana haukufatilia hoja hizi zilipo tokea.

Hoja hizi zimekuja baada ya watu kuvutana kuhusu serikali ikiamua kumsaka inampata na wengine kusema sio rahisi kiivo.

Ndipo ikaibuka mijadala kuhusu means mbalimbali ambazo zinaweza tumika na ukapata ugumu sana kumtrack mtu husika, kutokana na sintofahamu ya kakamatwa/hajakamatwa.

Ukitaka tujibu tu hoja hiyo ni very simple, tutakuwa na makundi mawili ambayo moja linacomment kakamatwa kundi lingine linakanusha basi.
 
Okey sawa sawa

Basi endeleeni kuwaelimisha kuhusu VPN maana naona naandika mpaka kichwa kinauma.

Umeshawaelezea lakini bado tu hawaelewi
 
Okey sawa sawa

Basi endeleeni kuwaelimisha kuhusu VPN maana naona naandika mpaka kichwa kinauma.

Umeshawaelezea lakini bado tu hawaelewi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo hivo mkuu, sidhani kama watu hawaelewi ila ni kawaida katika mijadala kupishana mawazo, kikubwa mwishowe tufikie muafaka.

Wengine hizi fani tulizi kimbiaga leo atleast tumepata review class, tunakumbushia enzi zetu.
 
Nyinyi ndio mnamdanganya Magu anachoma pesa daily kutafuta watu wa kumfuatilia kidogo bila mafanikio yeyote, hujui VPN ni kitu gani na inafanyaje kazi ila uko bize kujibu kila mtu, nikuache
 
Imagine huu uzi wa tarehe 02 November 2020.
 
VPN sasa jukumu lake, inahamisha taarifa , server unayotumia ww inasoma eneo jingine kabisa uliloamua ww , na IP address inasoma ya huko huko


anyway.. nilishasema niachane na ww
 
Sasa mtu akitumia VPN halafu akaenda Twitter, ISP katoa internet connection tu, traffic iko scrambled na encryption kwenye VPN server, mteja kapewa IP address mpya na VPN server, ISP atajuaje detail za connection hiyo wakati ziko encrypted?
Huyo jamaa inaonekana ni mmoja wa washaur wa bwana mkubwa, siku moja wanaamn watampata kigogo
 
Miaka ya sabini kuna matukio ynayakumbuka kiasi na wahenga wengine wanaweza kunisaidia,
  1. Ndege isiyojulikana ilirusha vipeperushi jijini Dar es salaam
  2. Radio isiyojulikana ilikuwa inarusha matangazo yake majira ya saa moja usiku mpaka saa mbili
  3. Mtu aliyejiita Candid scope alitunga kijitabu "Honest to my country"
  4. Mwaka 1983 kuna watu walijaribu kuiangusha serikali
Nimeorodhesha haya ili kukupa mwanga ya kuwa katika jamii kuna watu ambao hawatelewana na utawala na watatumia njia tofauti kufikisha ujumbe.Kigogo atapita kama walivyopita hao wengine na pia wataibuka wengine huenda hatari kuliko Kigogo.
Ndivyo ilivyo DUNIA!!!
 
Twitter mbali hivyo, hii jamii forum yenyewe weshindwa ivunja wapate details za wale washtakiwa

if it was that easy kama jamaa anavyotaka kutudanganya, kwann hawakwenda kwa Internet service provider akawasaidia? hajua kwamba data zinapatikana kwenye third party, na zile ambazo wanaweza zipata ISP ziko encrypted , yeye anadhani ni jambo jepesi
 
Hawawezi ku infiltrate twitter network security hadi waweze kufahamu ip address ya huyo jamaa, unless wana pandikizi lao ndani ya twitter hq, San Fran, USA.
Kumbuka tu makampuni hayo hayo yanafanya biashara na serikali.La muhimu ni kuchunga unachoandika na kuangalia faida na hasara ya unachochangia katika mitandao ya kijamii lakini MITANDAO YA KIJAMII SI SALAMA KAMA WENGI TUNAVYODHANIA
 
Issue ni ndogo tu, a download VPN kwenye simu yake, aangalie nyimbo zilizofungiwa hapa bongo ambazo zinarihusiwa kwa wenzetu huko ila hapa ni marufuku.. kama Nyegezi Ya Rayvanny na Diamond

alafu atuambie kwann ISP karuhusu uione hiyo mbimbo wakati imefungiwa , labda pengine ni njia nyepesi ya kumwelewesha akaelewa uwezo wa hili tunalo jadili
 
Kumbuka tu makampuni hayo hayo yanafanya biashara na serikali.La muhimu ni kuchunga unachoandika na kuangalia faida na hasara ya unachochangia katika mitandao ya kijamii lakini MITANDAO YA KIJAMII SI SALAMA KAMA WENGI TUNAVYODHANIA
Hakuna mtandao utakao link taarifa za mteja kamwe, endapo ukifanya hivyo na maisha yake yataishia hapo hapo
 
Bado tu! Kikulacho ki nguoni mwako! Yesu aliwaambia Mitume mmoja wenu atanisaliti! Yuda mpo naye
 
Hakuna mtandao utakao link taarifa za mteja kamwe, endapo ukifanya hivyo na maisha yake yataishia hapo hapo
[/QUOTEN
nimesikia kuna mtandao huwa wanatoa na wameandika kwenye policy yao
 
Nimesoma kuhusu VPN na ninachoweza kuweza kusema ni kuwa VPN yenye hakika ni ya kulipia tu.Hizi za free s ajabu ukauza habari zako zote
 
Asante mkuu, nadhani umesaidia kuzungumza kwa lugha nyepesi ambayo hata mtu wa kawaida anaelewa kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…