Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Kigogo tweet yake ya mwisho aliaga kabisa na akasema atarudi!! Huyu jamaa nahisi huwa ana review security yake kabla hajarudi tena!! Nahisi safari akirudi atakuwa na lundo la files!! Huyu mwamba kashindikana!!! Anayolea ndevu kwenye Meza kuu ya Chakula!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…