Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

huyo Kigogo huenda ni hao wenyewe double agent anauma na kupuliza....
 
Tumeambiwa kigogo2014 ni akaunti ya Zito wanatumia watu wanne walioko mataifa manne tofauti.
1: Zito toka Tz
2: Codes toka Kenya
3: Raphael toka Ujerumani
4: chahali toka Scotland
Cc Yeriko Nyerere
Hamna kitu kama hiko Kumbuka Raphael alishatekwa na alinyang'anywa hadi simu na laptop ,pia zitto simu yake na laptop zake zipo polisi mpaka sasa,nao walikuwa wanahisi hivyo hivyo lakini kigogo alikuwa anapost tu mda wote.

Andrea Codes - Mjerumani hajui kiswahili ingawa ni rafiki wa zitto

Daaa yaani kwa Chahali ndio kabisa Yericko Katoa BOKO.
 
Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola.

Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri?
Mkamateni aliyemshambulia Lissu kwanza, baada ya kumkamata tutawaamini kuwa mko makini vinginevyo kumkamata kigogo sio "issue".
 

Hapo kwa mstaafu huwa nilishawaza hivyo
 
Hiyo hela hutapewa.
 
kigogo kwa mawazo yangu sio mtu 1 ni kundi la watu (tena wataalamu sana) kuna siku niliona akisema 'walimdukua wakachemka" unaweza pata picha jamaa ni wa moto kiasi gani?

hii kudanganyana sijui mtego wa kuumwa maggu sijui nini ni porojo
Upo sahihi.

Kigogo ni timu ya watu wengi.

Angekuwa mtu mmoja wangeshamkamata kirahisi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…