Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Haya na tusubiri...Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema mtu anayejiita Kigogo2014 siku zake zinahesabika na atatiwa mbaroni muda si mrefu kwani hata mwezi una siku zisizozidi 31
Mh Lugola amesisitiza kuwa yeye leo hana maneno mengi ila ujumbe huo umfikie huyo kigogo2014 popote pale alipo.
Hapana hakuna haja ya kuvuka bahari, kigogo yupo hapa hapa Tanzania. Serikali ijitahidi tu kuweka dau watu wamwage taarifa nakuambia achukui round anakamatwa ndani ya wiki tu.
Tena huyu bwana anaonekana ni mtu wa makamo tu, kwa jinsi anavyo tweet mambo yake..
kwahio wewe ndio unaona busara nchi inayoshindwa kutoa mikopo kwa wananchi wake waweze kusoma itumie kodi zako kwa kutoa hilo dau ili kutafutana na mtu ambaye eti anaitukana serikali ? wakimpata then what ? hio ni value for our hard earned cash ?CANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...
Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...
Mzee ukiwa unaquote jua unayemjibu ni mtu mzima.Hujui sheria wewe hakuna duniani ambako wanaruhusu kumzushia Rais kifo ukapona!! Nenda kamuulize Snowden his days are numbered!! Hakuna uhuru usio na kikomo!!
siyo huyu boyaPress ingefanywa na IGP,
Na Yale matusi yanakusaidiaje ww au yeye ya kumuombea kifo raisi?Inakusaidiaje kwenye Maendeleo yako binafsi na ya Uchumi wa Viwanda? Maana umeandika kishabiki sana
Katika mbinu za kijasusi huwezi kufanya hivyo. Huyo siyo gaidi ambaye hata ukimuua hakuna atakayekuuliza. Kigogo ni mhalifu wa kawaida ambaye ukitangaza dau na kisha kumkamata inabidi ufuate mikondo ya kisheria kuwaepuka wale wapiga kelele wa LHRC, HR na HRW.CANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...
Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...
Hawa washauri wa serikali sijui huwa wanawaza nini?? vichwa vyao viko tupu 100%, na hakika kuna watu wanamjua kigogo fika, sema hawawezi mchoma katika mamlaka husika burebure, hapa serikali iingie BOT ichote fedha iweke mezani tuone kama huyo kigogo atachukua round...
Mbinu za kutumia wadada zilikuwa za zama hizo miaka ya 80 (kwa hii mbinu ni ngumu kumkamata kigogo maana ni mjanja kwelikweli), miaka ya hivi karibuni ni fedha tu inaongea.
Hawaoni wenzao Marekani wanachofanya kwa magaidi wanatangaza dau kubwa, waarabu uvumilivu unawashida wanaishia kuwachoa magaidi waliotikisa dunia...
Kama ulichoongea ni kweli yaani mtu wa karibu na Rais awe anavujisha taarifa tena twitter bila faida !!!....
Na kama ni mtu aliye na access ya information zote inamaanisha ni mkubwa sana na kama access yake ni limited then ana system maalumu ambayo ni mbaya zaidi.
Mimi nachojaribu kuwaza kama mtu wa ndani ya system ajipe RISK ya bure ina maana gani katika system ya usalama tuliyonayo ??..
Ngoja nikanywe zangu soda tu maana ya bongo yanaumiza kichwa
Hii taarifa eclat atafurahi sana.usidanganye watu!ni mimi hapa na bado napost!!kuwa jiwe yupo mahututi korea ya kaskazini tena povu linamtoka mdomoni!!!
usidanganye watu!ni mimi hapa na bado napost!!kuwa jiwe yupo mahututi korea ya kaskazini tena povu linamtoka mdomoni!!!
Ili uweze kupewa cooperation sharti ni kwamba kosa unalomtuhumu huyo mtu ni lazima liwe kosa kwenye nchi unayoomba msaadaTanzania Government might ask or corporate with foreign competent governments or agencies like Mossad which is most likely and that will be bad news for Kigogo 2014.
Kiingereza Cha hovyoDo you remember the issue of JK on "The Utamu"? The guy was in UK but mkono wa.serikali reached him!!
Kwa matusi sijayaona ila maneno ya kusema jiwe magonjwa nalo hilo ni tusi?Na Yale matusi yanakusaidiaje ww au yeye ya kumuombea kifo raisi?