kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,143
.kigogo kwa mawazo yangu sio mtu 1 ni kundi la watu (tena wataalamu sana) kuna siku niliona akisema 'walimdukua wakachemka" unaweza pata picha jamaa ni wa moto kiasi gani?
hii kudanganyana sijui mtego wa kuumwa maggu sijui nini ni porojo
Yupo twita huko amepost dakika hizo unazoziona.View attachment 1252250
Sasa SNOWDEN na KIGOGO Wanafananaje???Yeye alitoa ukweli kuwa USA wanawadukua marais wa EU lakini US wanamtaka hai au maiti
Au yawezekana keshakatmatwa.Hivi mualifu anatangaziwa kukamatwa?sijawahi ona,yawezekana wameshindwa Sasa wanatoa vitisho
Mwezi una siku zisizozidi 31.......hii sentensi inaendana na neno lako la mwisho!Au yawezekana keshakatmatwa.
Au yawezekana kigogo alitengenezwa na wale wazee wa intellijensia na sasa umefika wakati wa kuuaminisha umma kuwa jama kakamatwa kuwa huwezi kwepa mkono mrefu.
Baada ya hapo na wale waliokuwa n nia ya kweli kutumia mitandao vibaya waanywea kjwa wtashikwa.
Ndo yale ya UNANIIBIA PENSELI ALAFU UNANISAIDIA KUITAFUTA.
Hebu jaribu kuuandama utawala wa Kagame basi tuone.sio ya nchi inayotegemea misaada kujiendesha kwa zaidi ya nusu ya bajeti yake
Apatikane asipatikane 2020 hakuna Rais mwingine zaidi ya Magu.
Siyo mtu wa makamo tu kama unavyosema.yule ni msomi mzuri sana wewe angalia hata english yake imetulia sana.halafu siyo kwamba wameanza leo kumtafuta wameanza muda mrefu ila wameshindwa kumpata.kwa sababu haiwezekani mtu muwe mna mtafuta kama muhalifu halafu unatangazia umma ili iweje.kwani kazi za Polis wapelelezi ni nini.huyu hawamuwezi ni ANTACHABO.Hapana hakuna haja ya kuvuka bahari, kigogo yupo hapa hapa Tanzania. Serikali ijitahidi tu kuweka dau watu wamwage taarifa nakuambia achukui round anakamatwa ndani ya wiki tu.
Tena huyu bwana anaonekana ni mtu wa makamo tu, kwa jinsi anavyo tweet mambo yake..
Asange alikuwa anajulikana ni nani. Ila kigogo wanakiri kabisa hawamjui. Kama ilivyo kwa Mzee Mwanakijiji serekali ya awamu ya tano enzi za waziri mkuu Lowassa walipata kukiri kuwa huyu jamaa hawamjui. Baada ya kuchapisha makala nyingi za kuikosoa serekali.Kigogo yupo nje ya nchi, ila haya mambo haya si Unaona Asange alitiwa nyavuni
Tanzania Government might ask or corporate with foreign competent governments or agencies like Mossad which is most likely and that will be bad news for Kigogo 2014.
Wakishamdaka iweje? Au wanamtafuta wakamlishe yule chatu wao wa kigamboni? Eti wawatumie wahuni wa kimataifa kunsaka mtu anayeandika tu mawazo yake na Kisha wawalipe! Kama watatumia mishahara yao kuwalipa ni sawa but sio fedha za umma!Serikali haijaamua tu kumdaka,pesa haijawahi kushindwa jambo dogo kama hili.
Kama hawana human resources,watafute wahuni hata wa kimataifa waliokubuhu kwenye hiyo idara.