Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

Acheni kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navo.
Hakuna mtoto anaeminywa kisogo
 
FaizaFoxy kwani kwenye mafundisho ya Dini yenu ya kiislamu yanasema Je?
Uislamu unasema mfanye hivyo AU muwanyanyapae watu wenye vichogo ?.

AU ni nyie Tu mumeamua kujiongeza.

NAomba majibu tafadhali
 
Watu wa Zanzibar waambiwe ukweli, waachane na hii Tabia, utamaduni wa hovyo.
Mtoto kuwa na kichogo ni haki yake , ni maumbile ya kibinaadam, haipaswi kubaguliwa
Halafu ndio wanakuja kuwa viongozi Bara, unakuta mtu kicha kimemsimama kama shoka la buchani,
Waelimishwe waache Mila potofu,
 
Mkuu Elimu bado ni tatizo Sana afrika
Sio elimu tu, wafrica ni wakatili sana, mfano ukeketaji Yani unamharibia Binti maisha angali mdogo kabisa,

Unamwondolea kitu ambacho faida yake anaiona ukubwani, anajikuta Hana antenna huku vijana wanataka wenye nazo, yeye anaonekana kituko,
 
Palikua na wakunga wa jadi kabla ya hawa wa kusomea wanaofanya watoto wawe na vitovu vikubwa,hilo la kusawazisha chogo lipo zanzibar kwa zaidi ya karne
 
Hupendelea kuwalaza kwa kuweka kichogo chin ndio maana icho kisogo hupotea na sio kwamba wanawabinya kisogo
Okay πŸ‘, πŸ‘Œ Hongera Kwa kukiri..

Kwani Sisi Huku Bara hatuwalazi watoto wetu , Kwa kuwaweka watoto kichogo chini.
tunawalaza lakini Bado , vichogo vyao vipo vimechongoka.

Nyie huko huwa mnaongezea mgandamizi kidogo kidogo, ili kichogo kipotee mapema.

Okay sawa tuje kwenye hoja yako , Mtoto kuwa na kichogo ni kosa? Mkuu elijaah Naomba majibu tafadhali
 
Sio elimu tu, wafrica ni wakatili sana, mfano ukeketaji Yani unamharibia Binti maisha angali mdogo kabisa,

Unamwondolea kitu ambacho faida yake anaiona ukubwani, anajikuta Hana antenna huku vijana wanataka wenye nazo, yeye anaonekana kituko,
Hawataki mtoto wa like asike utamu wa tendo pendwa kwako FaizaFoxy
 
Palikua na wakunga wa jadi kabla ya hawa wa kusomea wanaofanya watoto wawe na vitovu vikubwa,hilo la kusawazisha chogo lipo zanzibar kwa zaidi ya karne
Hilo swala la kitovu kikubwa ni itilafu Tu kwenye kukikata Sio Kwamba wanafanya makusudi.

Hao wakunga wa jadi walishindwa Tu kuongeza makalio Kwa Watkins dada ,wangepiga Hela sana kama wangeliweza hili.
Waacha wauze Dawa za kurefusha uume
 
Africa bado tuna safari kubwa kuelimishana
 
Kama hutaki mwanao awe na chogo, Basi fuata taratibu za kisheria.

Tafuta dkt bingwa wa watoto na ubongo , akupatie matibabu Kwa Mtoto wako na Sio, kumchukua mkunga wa jadi.
 
Kwan vp kiafya kuna tatiz loloto mtot kulazwa kisogo kikiwa chini?

Sio kosa mtoto kuwa na kisogo mkuu
 
Wewe kama ni chogo hilo ni tatizo lako binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…