Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

Aliyepanga haya masomo yafundishwe shule na mengine yasifundishwe shuleni nani?
Tatizo lenu tz hamna akili ya kuona madhara kufundishwa dini siyo kuwa muadilifu ...shuleni wanafunzi wangefundishwa uadilifu tu ...dini zifundishwe sehemu stahiki maana dini zipo nyingi tena zinapingana zenyewe kwa zenyewe ...waafrica tutazidi kuwa watumwa wa wazungu na waarabu milele daima kama tutaendekeza upumbavu ...kesho na kesho kutwa mashoga nayo yata anzisha dini yao ya ushoga na kutaka ifundishwe serikali..kesho na kesho kutwa freemason nao hivyo hivyo ....[emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Ccm ni mafiiiiiiii
 
Shinikizo hapa ni msukumo wa kiislam kuwepo na masomo yao katika mtaala wa taifa, hilo la kikristo limewekwa tu kubalanzi mambo. Wakristo hawana haja ya mtaala huo kwa kuwa ni wengi katika madhehebu yenye imani tofauti japo ni wamoja katika kristo. Haileti mantiki kujumuisha masomo ya dini katika mitihani ya taifa. Hayo masomo kila dini na dhehebu wanavyo vyuo vyao wakafundishane imani zao huo huko. Wengine hatuamini upuuzi huo katika taifa ambalo haliongozwi kwa misingi ya dini
 
Hapo ilikuwa inatafutwa namna ya kuingiza hiyo Islamic knowledge iingie kwenye mfumo rasmi huko kwingine ni geresha tu Prof Mkenda anafanya haya kumfurahisha Samia maana haya malalamiko ya kobaz yamekuwepo muda mrefu kuhusiana na Islamic knowledge kutojumuishwa ktk ku calculate Division.
 
Hapo nia ya serikali miaka ijayo ni kutaka mashehe wawe na vyeti vya serikali....taratibu itaanzishwa shehe lazma awe na ISLAMIC KNOWLEDGE ya serikali
 
Hivi hakuna vyuo vikuu vitoavyo elimu za dini huko ulimwengu wa Kwanza na hapa kwetu Africa?
Tuwaandae vijana wanataka bobea huko mimi naona hizi Tahusisi mpya ni jambo jema sana
 

Hivi unajua hata hyo elmu ya darasani tumeletewa?
 
Mambo ya mzee ruksa yanarudi sasa. Hayo masomo ya dini hayalengi Wakristo.
 
Hakuna masomo yoyote ya kidini yaliyowekwa kwenye combinations isipokuwa wewe una roho mbaya na husda. Yaani umeona lugha ya Kiarabu imo kwenye cobinations ndiyo shida ilipoanzia. Mbona Kichina, Kifaransa na Kiingereza vimo lakini siyo shida? Kama shida yako ni Kiarabu basi acha kutumia lugha ya Kiswahili kwani nacho ni krioli ya lugha ya Kiarabu na lugha za Kibantu za wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki.
 
Nchi ina watu wengi ,hatuwezi kusikiliza wapumbavu kama mtoa mada ...Ule mpango wa Dp world uliishia wapi ...Watu mil 60 tusikilize wapumbavu wachache kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…