Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

Mzab zab je hajafekisha vyeti kweli nawasi wasi naye hayupo kwenye list
 
Kuna watu hawana ajira huu mwaka wa sita wanasota kitaa....halafu pesa ambayo ingetumika kuwapa walau mikopo au ajira za muda mfupi ndio anakwenda kupewa mwizi alieiibia serikali kwa miaka 15🤔🤔..........kweli mama yangu mama samia umejua kuniaibisha pamoja na kutetea kote huko??🤔🤔🤔
 
Mtu akiwa na cheti feki ukweli ni kwamba inabatilisha hata ajira aliyoipata kwa kutumia vyeti hivyo. Katika jambo hili nasimama na JPM...
Vipi watu waliokosa umakini na kuwaajiri wenye vyeti feki? Nao walichukuliwa hatua?!
 

Aliyewafukuza mwanzoni mbona hakutoa ajira za kutosha….?? Tuache popularity za kishamba kwenye maisha ya watu. Watu walilalamika kuonewa kama walipunguzwa kazi kijanja baada ya serikali kuona haitakuwa na uwezo wa kuwalipa mishahara.
 
Pol
Polisi,JW n.k,sidhani kama walikumbwa na hiyo kadhia,na wale walioogopa wakakimbia,kuna namna iliyotumika kuwaita.
 
Sjaelewa hikiii
 
Umefika wakati wa Nchi hii na Machawa waelewe kuwa mtu yule RASMI Kwa hili amefutika kabisa kwenye akili za watu. Hatakiwi kuandikwa tena humu wala popote utukufu na masifa yamefutwa.
Hakuna cha alifanya Wala mtanikumbuka.
 
Yaani si haba hasa ukiwaza hukuwa na kazi miaka 6 imepata familia umeiendesha Kwa vibarua na shida acha iwe iwavyo yule mtu asahaulike !
 
Kati ya Serikali na wao nani mwizi hapo??

Hawajaiibia tu Serikali pia wamesababisha watu wenye sifa kukosa hizo nafasi.

Hawa hawakustahili kulipwa, walipaswa washtakiwe kwa ulaghai au kughushi nyalaka ( wataalamu wa sheria wanaweza kufafanua zaidi)
Elewa hawalipwi staafu! Ni michango yao waliyochangia na mwajiriwa wao pia.
 
Kuna Hawa waliobadilisha namba za watahiniwa na Shule kupigwa [emoji1630] hawana tofauti ndio walewale. Kuna mahali iko tatizo!
 
Mahali palipo na feki katika nchi hii ni Jeshi la Polisi. Huko wapitie watakutana na majabu.!
 
Magufuli aliwapora haki yao Mama Samia anawarejeshea haki yao tatizo nini sasa kama ni haki kulipwa walipwe tu.
 
Kwa hiyo mnaona nongwa lililomshinda Magufuli, Samia analimaliza, acheni roho mbaya nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…