Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watajenga mkuu kwa muda muafakaHii ya Kibaha-Mlandizi-Morogoro express way ni ipi? Au ndio watajenga? [emoji2] [emoji2]
Sasa kama uwezo wa kulipia unao na ukaamua kukaa kwenye foleni kwa muda wa saa moja utakuwa umemkomoa nani?Waache wakurupuke tu na miradi isiyokua na upembuzi yakinifu, to cut it short ni kwamba sasa rasm foleni ya al hassan mwinyi road inarudi kutoka namanga ama morroco hadi past selander bridge. Hawatujui waswahili hawa
Kuhusu Tanzanite Huyo waziri wenu atakachofanikiwa ni kurudisha foleni barabara ya Ali Hassan Mwinyi lakini hela hapati....mark my words...
Hilo daraja litakuwa la kupigia picha na kutumiwa na watu wa jogging wakina Maulid Kitenge et al...
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app