Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

Kupanda kwa maisha na mfumko wa bei kwa bidhaa mbalimbali, inawahusu na Mataga au ni kwa wanachadema tu?
''A stick you throw ahead, you will find no matter the distance."

(Kwa Kiswahili kisicho rasmi, Fimbo uliyoitupa mbele yako utakutana nayo tu, haijalishi ni umbali kiasi gani)
 
EeeenHeeee!
Unaona unavyozidi kuonyesha ujinga?

Hao wangekuwa wengi na wazazi wako wangekuwa na hali gani? Hata kuwepo kwako inawezekana kungekuwa kwa mashaka wakati huu!

Wapi Afrika ambapo umewaona hao wengi na hali za wananchi wengine zikawa bora kuzidi za waTanzania?

Unajisemea tu kila linalokuja akilini bila ya kulipa tafakuri na kupima kuona ukweli wake ulivyo?
 

Kama Dewji anaajiri watu 24,000, tungekuwa na watu 100 kama yeye wangeajiri wangapi? Fanya hesabu halafu utajua kwa nini sera mbovu za Ujamaa zinatukwamisha.
 
Kama Dewji anaajiri watu 24,000, tungekuwa na watu 100 kama yeye wangeajiri wangapi? Fanya hesabu halafu utajua kwa nini sera mbovu za Ujamaa zinatukwamisha.
Mi naona akili yako imegota.
Kwani ajira zipo kwa Dewji pekee?
Halafu unazungumzia ajira za vibarua? Na anapojisikia kuwafukuzia mbali wanakuwa hawana pa kwenda?

Inaonyesha una akili ya kitwana sana, pamoja na kujipachika jina usilokuwa na sifa nalo.
 
Huna tu akili na hujui unachozungumza!
Muda kama huu hakuna mkulima mwenye Mahindi, ama kama wapo ni wachache sana!
Mahindi yapo sasa hivi mikononi mwa WALANGUZI wachache walio ya langua kwa bei ya chini kwa Wakulima na sasa wanayauza ili kupata faida ya juu kupita kiasi.
Wewe endelea kushangilia Simba au Yanga na Kubet ndizo kazi unazoweza kuzifanya hapa Duniani!
 
Ko wakifunga mipaka mnufaika atakuwa mkulima ?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Nchi haindeshwi hivyo!
 
"wanyonge wakichoka wanageuka waasi " kaka suma by Nash mc
 
Nenda kamuulize 'Roast au moduji' kama watakwambia kuna 'ujamaa' hapa!

Kila mara nakusoma na kuona una mawazo ya ajabu sana. Hivi unadhani kujipachika jina la 'Bepari' ndiyo kutakufanya ujue uhusiano wake na maendeleo ya nchi?
Ujamaa nchini ulishafutwa na lile Azimio la Zanzibar !! Sasa hivi ni ubepari uchwara kwa kwenda mbele !!
 
Kalime mzee na wewe uuze nje.....yaani mkuoina ataabike hlf wewe umelala hapo Dar uje ununue bei chee.......umesikia wapi.......
 

Acha kulalamika upumbavu. Kama wageni wanakuja na kulima kwanini wazawa wasilime kama wageni?
Uvivu wako sio swala la kitaifa. Wajibika kwa uzembe wako.
 
Kalime utajirike, wacha kulalamika bila mpango.
 
Aliyekwambia mkulima wa kawaida kule kijijini ananufaika na biashara ya mazao nani, mkulima amekuwa ni mtu wa kunyonywa na walanguzi na madalali kupitia lumbesa, kubana mizani na kupewa bei ndogo, jaribu kutumia akili kufikiri kwa kina.

Ananyonywa maana anavuna lakini hakuna soko. Mipaka imefungwa hawezi kuuza nje lakini soko likiwepo bei itapanda kama sasa na mkulima atafaidika.
Ni mkulima mbumbumbu tu atauza kwa hasara wakati kuna soko zuri.
 

Na wewe tafuta kihenge chako koboa ukauze Kenya.
 
Mkuu atapata faida gani
 
Unataka kilo ya mchele au mahindi iwe Tsh ngapi? Ni lini wakulima wa Tanzania watapata bei nzuri ya mazao Yao? Bei hupangwa na market forces za supply and demand, period

Wacha bei zipande, wakulima wanufaike ili watu watamani kuhamia kwenye kilimo badala ya umachinga kila mahali. Vyakula vikiisha na sisi tutanunua nje, na pia itakuwa ni wakati mwafaka kufungua kilimo cha mazao mengine ambayo yanakomaa kwa muda mfupi. Hafi mtu Tanzania kwa sababu ya njaa
 
Haya mambo yakufunga mipaka hayakuleta impact yoyote zaidi yakupolomoka kwa bei ya mazao yetu ngoja tuendelee tu na utaratibu huu huu
 
Hii ni 50/50.
Wakulima sasa wanapiga mnada mazao yao mbele ya wafanyabiashara wa nje.
Ni neema kwao na ni kaa la moto kwa wananchi wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…