Anatakiwa kukopa trilllion 10 kila mwaka? Akimaliza miaka 10, inakua trillion 100 alafu nchi mnauza au sio?Anatakiwa Kukopa til.10 kwa mujibu wa bajeti ya serikali ko hapo bado til.2.
Tatizo sio Kukopa bali ni je huo mkopo una masharti gani? Kukopa kwa masharti ya kibiashara na nje ya ukomo wa bajeti kama Mwendazake sio sawa ni hasara ,pia mkopo huo huo unatumika Ku service madeni ya nyuma yaliyoiva.
Mmeajiriwa bila elimu? Mbona ajabu sana hii nimekuwekea report ya BOT kuanzia April Hadi October jinsi nchi ilivyokopa, lugha iliyotumika ni English na hili ndio tatizo la BOT, hata alipokua akikopa mwendazake mlishindwa kusomaWapi imeandikwa dola bilioni 3.6 we kilaza?
Usd 3.6 million ndo Usd 3.6 bilion??
Ulisoma chini ya mwembe nini we sukuma gang?
Pesa zinakopwa kwa malengo, kwani itasalia til.100 hazilipwi?Anatakiwa kukopa trilllion 10 kila mwaka? Akimaliza miaka 10, inakua trillion 100 alafu nchi mnauza au sio?
Itakua tu maana speed yenu ipo vizuriHata ingekuwa til.100 sio kesi ilimradi ilipitishwa kwenye mpango wa bajeti..kila mwaka lazima serikali ikope,,chukua bajeti utaona
Speed ipo vizuri kwa hili nawapongeza sana, bajeti ya mwakani tukope trillion 50Pesa zinakopwa kwa malengo, kwani itasalia til.100 hazilipwi?
Kwa taarifa yako itakuwa zaidi ya til.hizo mia lakini je na uchumi utasalia ulivyo au unakua?
Nimekuuliza nioneshe sehemu iliyoandikwa dola bilion 3.6? Acha kubwabwajaMmeajiriwa bila elimu? Mbona ajabu sana hii nimekuwekea report ya BOT kuanzia April Hadi October jinsi nchi ilivyokopa, lugha iliyotumika ni English na hili ndio tatizo la BOT, hata alipokua akikopa mwendazake mlishindwa kusoma
We kilaza hatukopi kwa. Kujiskia na kikomo ni 30% ya bajeti ya mwaka husika.Speed ipo vizuri kwa hili nawapongeza sana, bajeti ya mwakani tukope trillion 50
Nilijua hutaweza kuelewa ndio maana nilitaka mtu akusomeeNimekuuliza nioneshe sehemu iliyoandikwa dola bilion 3.6? Acha kubwabwaja
Kwenye nyaraka uliyoweka wameandika dola milion 3.6 tena wanataja Kama disbursements
Wewe mchunga ng’ombe na muharibu mazingira aliyekwambia 3.6 milion ndo 3.6 billion ni nani?
Au hizo shule zenu za chini ya mwembe ndo ulifundishwa hayo mashudu?
Hata kiingereza hujui unaleta nyaraka ambazo huzielewi humu
Punguani wahed wewe
Acha maneno nenda kwenye nyaraka yakoNilijua hutawezakuelewa ndio maana nilitaka mtu akusomee
Hadi march deni lilikua dola mil 24,429(sawa na dola bilion 24.4
October Deni ni dola milion 28,054(sawa na dola bil 28)
Difference ni dola million 3,600(sawa na dola bilion 3.6)
Shida kubwa ya nchi sio maradhi Wala umaskini Bali ni ujinga, na hapo unaweza kuta umepewa ofisi lumumba
Mimi nimewasifia, kusifia ni vibaya? Speed ipo vizuriWe kilaza hatukopi kwa. Kujiskia na kikomo ni 30% ya bajeti ya mwaka husika.
Hebu angalia status ya Deni tena kutoka April Hadi Sasa, huenda ukaelewa maana naona kama akili yako haipo sawaAcha maneno nenda kwenye nyaraka yako
Kwenye nyaraka uliyoweka hakuna waliposema dola bilioni 3.6 , wamesema dola milioni 3.6. Kama hujui kiingereza na Exchange rate dola milion 3.6 iliyopo kwenye nyaraka uliyoweka ni sawa na Tzs bilioni 7
Hizo trilioni 8 umezitoa wapi we mshamba?
Acha kuhamisha magoli we mshambaHebu angalia status ya Deni tena kutoka April Hadi Sasa, huenda ukaelewa maana naona kama akili yako haipo sawa
View attachment 2052903View attachment 2052904
Wewe ni mjinga, nimekuwekea report mbili za April na October, ili upate difference ambayo ndio hiyo 3.6bilAcha kuhamisha magoli we mshamba
Ulisema mwanzo nitafute sehemu iliyoandikwa 3.6 dola bilioni. Umeona umeishiwa nguvu kwa sababu haipo sasa unahamia kwenye status ya deni![emoji23][emoji23][emoji23]
Kubali kuwa huna hoja umejaa upotoshaji tu muhuni wewe!
Majukumu ya Waziri wa Fedha kwa Rais ni yepi?Kwa taarifa yako, kama siyo waziri wa fedha kukomaa, rais alikuwa ameshaona aibu na alitaka zitolewe.
Ungetoa mapendekezo ya wapi sasa pa kuongeza mapato ya serikali ingeleta maana zaidi.Kuiga ni upumbavu wao tu hao walioiga, kodi inatakiwa iwe imposed katika maeneo na kiwango ambacho hakiwi sensitive kiasi cha kukera! Kodi iko kwenye kila bidhaa ununuayo ila huwezi sikia mtu analalamikia kodi ya pipi au sigara! Na katika kitu kinachoingiza kodi nchini miaka yote ilikuwa ni sigara na bia.
Hizo tozo ni kero tu na ni vile tuna polisi form 4 failures ambao matumizi ya akili, busara na weledi kwao ni 0.5% ila mabavu na kukomoana ni 99.5% wanaweza kukufyatulia risasi wakakudhuru na kulindwa na network yao ya maaskari! Sehem yenye unafuu walau jf hutarushiwa risasi
S-Gang katika wivu uliopitilizaSpeed ipo vizuri kwa hili nawapongeza sana, bajeti ya mwakani tukope trillion 50
Mapendekezo watoe wao wanaolipwa mamilion ya kodi kama mishahara na marupu rupu huku wanatembelea viyoyozi kwenye V8Ungetoa mapendekezo ya wapi sasa pa kuongeza mapato ya serikali ingeleta maana zaidi.
acha uongo mkuu unatuhaibisha sote tunaelewa hiyo tozo athari zake na kwanini iliianzishwaWanaompinga Rais Samia ni majizi na wakwepa kodi tu
Wao mapendekezo yao ndiyo hayo mkuu, sasa ikitokea tunaona siyo feasible, tupendekeze yaliyo feasible. Fiscal financing si jambo rahisi kama tunavyoandika mitandaoni. Just imagine jinsi nchi ilivyo kubwa ikiwa na watumishi kila kijiji, ikifika tarehe 22-30 wote hao wanataka fungu liwe limesoma benki. Kuna miundombinu, kuna Elimu, afya nk. Tuwe rational sometimes. Mbona huku nje tunalipa sana!Mapendekezo watoe wao wanaolipwa mamilion ya kodi kama mishahara na marupu rupu huku wanatembelea viyoyozi kwenye V8