Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Anatakiwa kukopa trilllion 10 kila mwaka? Akimaliza miaka 10, inakua trillion 100 alafu nchi mnauza au sio?Anatakiwa Kukopa til.10 kwa mujibu wa bajeti ya serikali ko hapo bado til.2.
Tatizo sio Kukopa bali ni je huo mkopo una masharti gani? Kukopa kwa masharti ya kibiashara na nje ya ukomo wa bajeti kama Mwendazake sio sawa ni hasara ,pia mkopo huo huo unatumika Ku service madeni ya nyuma yaliyoiva.