Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

Anatakiwa Kukopa til.10 kwa mujibu wa bajeti ya serikali ko hapo bado til.2.

Tatizo sio Kukopa bali ni je huo mkopo una masharti gani? Kukopa kwa masharti ya kibiashara na nje ya ukomo wa bajeti kama Mwendazake sio sawa ni hasara ,pia mkopo huo huo unatumika Ku service madeni ya nyuma yaliyoiva.
Anatakiwa kukopa trilllion 10 kila mwaka? Akimaliza miaka 10, inakua trillion 100 alafu nchi mnauza au sio?
 
Wapi imeandikwa dola bilioni 3.6 we kilaza?

Usd 3.6 million ndo Usd 3.6 bilion??

Ulisoma chini ya mwembe nini we sukuma gang?
Mmeajiriwa bila elimu? Mbona ajabu sana hii nimekuwekea report ya BOT kuanzia April Hadi October jinsi nchi ilivyokopa, lugha iliyotumika ni English na hili ndio tatizo la BOT, hata alipokua akikopa mwendazake mlishindwa kusoma
 
Anatakiwa kukopa trilllion 10 kila mwaka? Akimaliza miaka 10, inakua trillion 100 alafu nchi mnauza au sio?
Pesa zinakopwa kwa malengo, kwani itasalia til.100 hazilipwi?

Kwa taarifa yako itakuwa zaidi ya til.hizo mia lakini je na uchumi utasalia ulivyo au unakua?
 
Mmeajiriwa bila elimu? Mbona ajabu sana hii nimekuwekea report ya BOT kuanzia April Hadi October jinsi nchi ilivyokopa, lugha iliyotumika ni English na hili ndio tatizo la BOT, hata alipokua akikopa mwendazake mlishindwa kusoma
Nimekuuliza nioneshe sehemu iliyoandikwa dola bilion 3.6? Acha kubwabwaja

Kwenye nyaraka uliyoweka wameandika dola milion 3.6 tena wanataja Kama disbursements

Wewe mchunga ng’ombe na muharibu mazingira aliyekwambia 3.6 milion ndo 3.6 billion ni nani?

Au hizo shule zenu za chini ya mwembe ndo ulifundishwa hayo mashudu?

Hata kiingereza hujui unaleta nyaraka ambazo huzielewi humu

Punguani wahed wewe
 
Nilijua hutaweza kuelewa ndio maana nilitaka mtu akusomee
Hadi march deni lilikua dola mil 24,429(sawa na dola bilion 24.4
October Deni ni dola milion 28,054(sawa na dola bil 28)
Difference ni dola million 3,600(sawa na dola bilion 3.6)
Shida kubwa ya nchi sio maradhi Wala umaskini Bali ni ujinga, na hapo unaweza kuta umepewa ofisi lumumba
 
Nilijua hutawezakuelewa ndio maana nilitaka mtu akusomee
Hadi march deni lilikua dola mil 24,429(sawa na dola bilion 24.4
October Deni ni dola milion 28,054(sawa na dola bil 28)
Difference ni dola million 3,600(sawa na dola bilion 3.6)
Shida kubwa ya nchi sio maradhi Wala umaskini Bali ni ujinga, na hapo unaweza kuta umepewa ofisi lumumba
Acha maneno nenda kwenye nyaraka yako

Kwenye nyaraka uliyoweka hakuna waliposema dola bilioni 3.6 , wamesema dola milioni 3.6. Kama hujui kiingereza na Exchange rate dola milion 3.6 iliyopo kwenye nyaraka uliyoweka ni sawa na Tzs bilioni 7

Hizo trilioni 8 umezitoa wapi we mshamba?
 
Hebu angalia status ya Deni tena kutoka April Hadi Sasa, huenda ukaelewa maana naona kama akili yako haipo sawa
Screenshot_20211221-221010_1.jpg
Screenshot_20211221-221018_1.jpg
 
Hebu angalia status ya Deni tena kutoka April Hadi Sasa, huenda ukaelewa maana naona kama akili yako haipo sawa
View attachment 2052903View attachment 2052904
Acha kuhamisha magoli we mshamba

Ulisema mwanzo nitafute sehemu iliyoandikwa 3.6 dola bilioni. Umeona umeishiwa nguvu kwa sababu haipo sasa unahamia kwenye status ya deni!😂😂😂

Kubali kuwa huna hoja umejaa upotoshaji tu muhuni wewe!
 
Acha kuhamisha magoli we mshamba

Ulisema mwanzo nitafute sehemu iliyoandikwa 3.6 dola bilioni. Umeona umeishiwa nguvu kwa sababu haipo sasa unahamia kwenye status ya deni![emoji23][emoji23][emoji23]

Kubali kuwa huna hoja umejaa upotoshaji tu muhuni wewe!
Wewe ni mjinga, nimekuwekea report mbili za April na October, ili upate difference ambayo ndio hiyo 3.6bil
Hata akili tu ya kujiongeza huna? Unatafuta sehemu walioandika billion, haitumiki hapo hapo inatumika maelfu ya milion.
Elimu yako ni ndogo Sana, report nyingine hiyo Soma hapo, najua pia hutaelewa.

Screenshot_20211221-225040.jpg
 
Kuiga ni upumbavu wao tu hao walioiga, kodi inatakiwa iwe imposed katika maeneo na kiwango ambacho hakiwi sensitive kiasi cha kukera! Kodi iko kwenye kila bidhaa ununuayo ila huwezi sikia mtu analalamikia kodi ya pipi au sigara! Na katika kitu kinachoingiza kodi nchini miaka yote ilikuwa ni sigara na bia.

Hizo tozo ni kero tu na ni vile tuna polisi form 4 failures ambao matumizi ya akili, busara na weledi kwao ni 0.5% ila mabavu na kukomoana ni 99.5% wanaweza kukufyatulia risasi wakakudhuru na kulindwa na network yao ya maaskari! Sehem yenye unafuu walau jf hutarushiwa risasi
Ungetoa mapendekezo ya wapi sasa pa kuongeza mapato ya serikali ingeleta maana zaidi.
 
Mapendekezo watoe wao wanaolipwa mamilion ya kodi kama mishahara na marupu rupu huku wanatembelea viyoyozi kwenye V8
Wao mapendekezo yao ndiyo hayo mkuu, sasa ikitokea tunaona siyo feasible, tupendekeze yaliyo feasible. Fiscal financing si jambo rahisi kama tunavyoandika mitandaoni. Just imagine jinsi nchi ilivyo kubwa ikiwa na watumishi kila kijiji, ikifika tarehe 22-30 wote hao wanataka fungu liwe limesoma benki. Kuna miundombinu, kuna Elimu, afya nk. Tuwe rational sometimes. Mbona huku nje tunalipa sana!
 
Back
Top Bottom