Binti Sayuni Tz
Senior Member
- Nov 25, 2015
- 156
- 238
Mambo yake huko ndani yamemshinda. Kazi kuingilia mambo ya wengine. Marekani aanze kwanza kuweka vizuri haki ndani ya mipaka yake.hata wapambe wa Gaddafi nao walikuwa wakijipa moyo hivi hivi kama wewe ndugu.
wote tunajua kilichofuatia!
umesema ni Chadema, which means unawajua.
so, kawaripoti polisi wakamatwe basi, hatutaki wahalifu sisi!
Mmeshamgeuka tena wakati mlikuwa mnamlinganisha na jiwe lenu? Wangekuwa wanamponda Lissu mngekuja mmejifunga vibwebwe kama vya madenge. Mdharau mwiba mguu huota tende. Jitieni hamnazoUSA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.
Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
Hopeless kabisa wewe!jicho la Marekani linaimulika Tanzania 24/7.
Yaani wewe akili yako umeikabidhi kwa hao mabasha wako!Lazima MATAGA watafuteni!!
Tumesema kila siku wenyewe wanadhani wataendelea kutunyang'anya ushindi wetuMATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia..
Muulize Maalim Seif anauzoefu na hao mabasha wako atakushauri vizuri zaidi.hahahaaaa!
subirini kibano wandugu, hakuna namna!
Tunazungumzia uchaguzi wa Tanzania, habari za uchaguzi wa USA unakuhusu nini wewe taga?Mbona Trump kamnanga yule mama mgombea mwenza wa Bidden
Urais mtausikia tu!! Saccos haiwezi pata urais wa JMT!Tumesema kila siku wenyewe wanadhani wataendelea kutunyang'anya ushindi wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili na ujiulize kwann wanatumia muda kuangaika na mambo haya. Na kwa kawaida Tl sio kuwa alitakiwa awe anahojiwa juu ya shambulio lake? Kwann hili halifanyiki badala yake mkuu anasema bado wanapata tatizo kumpata? Kuna jambo linaendelea, huu si wakati wa kubeza, tutumie akili.Marekani kwa Sasa wanakurupuka kwenye kutoa matamko yao. Ndio maana wenye akili tunawaona wapuuzi tuu kama wapuuzi wengine. Rejea tamko juu ya kilichoitwa Kushambuliwa na kuvunjwa vunjwa miguu kwa Mbowe.
Kama intelligence yao ilishindwa kujua kuwa Mbowe hakushambuliwa bali aliteleza tuu na kupata mshituko wa Kifundo Cha Mguu, wanatudhihirishiaje kuwa ofisi za Chadema- Arusha zimechomwa na watu wa Serikali na si Wana Chadema wenyewe Kama sehemu ya kutafuta public Attention?
Kila anapo kanyaga mh Lissu basi anaonekana kwa wapenda haki ulaya yoote, marekani, na kwinginekoTunamulikwa kwa taa yenye mwanga mkali mno. Tulistulia kwa Makonda kufungiwa kwenda USA tukatia kejeli sasa tena tunakumbushwa.
CCM mtashinda uchaguzi huu bila shaka yoyote, ondoeni mikono yenu kwenye vyombo vya dola ili tuwasaidie kushangilia ushindi na kuwazomea walioshindwa.
Tunawamaliza kabla ya 28/10/2020! Mtakuwa tayari mko hoi bin tabani.poa poa.
Wamarekani wanafuatilia kwa karibu sana kuhakikisha haki inatendeka 28/10/2020.
ni vyema mamlaka zihakikishe haki inatamalaki vinginevyo kuna mtu anaweza ku-Gaddafi-wa mazima!
Utasubiri sana!this time wamekuja kivingine comrade!