Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

hata wapambe wa Gaddafi nao walikuwa wakijipa moyo hivi hivi kama wewe ndugu.

wote tunajua kilichofuatia!
Mambo yake huko ndani yamemshinda. Kazi kuingilia mambo ya wengine. Marekani aanze kwanza kuweka vizuri haki ndani ya mipaka yake.
 
USA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.

Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
Mmeshamgeuka tena wakati mlikuwa mnamlinganisha na jiwe lenu? Wangekuwa wanamponda Lissu mngekuja mmejifunga vibwebwe kama vya madenge. Mdharau mwiba mguu huota tende. Jitieni hamnazo
 
Marekani kwa Sasa wanakurupuka kwenye kutoa matamko yao. Ndio maana wenye akili tunawaona wapuuzi tuu kama wapuuzi wengine. Rejea tamko juu ya kilichoitwa Kushambuliwa na kuvunjwa vunjwa miguu kwa Mbowe.

Kama intelligence yao ilishindwa kujua kuwa Mbowe hakushambuliwa bali aliteleza tuu na kupata mshituko wa Kifundo Cha Mguu, wanatudhihirishiaje kuwa ofisi za Chadema- Arusha zimechomwa na watu wa Serikali na si Wana Chadema wenyewe Kama sehemu ya kutafuta public Attention?
Tumia akili na ujiulize kwann wanatumia muda kuangaika na mambo haya. Na kwa kawaida Tl sio kuwa alitakiwa awe anahojiwa juu ya shambulio lake? Kwann hili halifanyiki badala yake mkuu anasema bado wanapata tatizo kumpata? Kuna jambo linaendelea, huu si wakati wa kubeza, tutumie akili.
 
Tunamulikwa kwa taa yenye mwanga mkali mno. Tulistulia kwa Makonda kufungiwa kwenda USA tukatia kejeli sasa tena tunakumbushwa.
CCM mtashinda uchaguzi huu bila shaka yoyote, ondoeni mikono yenu kwenye vyombo vya dola ili tuwasaidie kushangilia ushindi na kuwazomea walioshindwa.
Kila anapo kanyaga mh Lissu basi anaonekana kwa wapenda haki ulaya yoote, marekani, na kwingineko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just the next day rubbish! All those bombings, drones, and the immemorable Hiroshima and Nagasaki incinerations! Ever said anything about slavery? Now masquerading, police-like to foresee over these useless politicians. That is too low for a Senator.

Anyhow, we now know the political ignorance of these scientifically developed nations. Let them use Trump dote to firstly disinfect their brains.
 
poa poa.

Wamarekani wanafuatilia kwa karibu sana kuhakikisha haki inatendeka 28/10/2020.
ni vyema mamlaka zihakikishe haki inatamalaki vinginevyo kuna mtu anaweza ku-Gaddafi-wa mazima!
Tunawamaliza kabla ya 28/10/2020! Mtakuwa tayari mko hoi bin tabani.
 
Kwani Tanzania ni koloni la marekani ?hii ni nchi huru inajiamulia mambo yake yenyewe mbona uchaguzi wa marekani ulihackiwa wakamgua Trump bila kitegemea je Tanzania iliingilia
 
Back
Top Bottom