Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Mwambieni balozi wa Marekani atulie, tunayajua yanayotekea marekani na hatujawahi kuingilia
hata wapambe wa Gaddafi na Saddam walikuwa wakisema hivi hivi!
 
Sawa,ila mpaka sasa akuna mahala tuliwachukiza hao unaowaita wazungu. Hivi vimtu vichache ambavyo hata vyenyewe havijui vinataka nini sik sababu ya kumpeleka mtu the haugue.
 
Marekani 'ihangaike' Kwanza na 'Upuuzi' wa Rais wao Trump hadi 'anadhihakiwa' na akina Michelle Obama katika DNC kisha ndiyo aje huku Kwetu.
Hapa wamarekani wanaongelea hoja kwa hoja na sio hoja kwa mawe.
 
Please tell the Americans that IT WAS AN INSIDE JOB WITH MALICIOUS PURPOSES AIMED AT OTHER PEOPLE WITH AN AIM OF GETTING SYMPATHETIC REACTIONS FROM SUCH GROUPS DURING THIS PRE - NOMINATIONS TIME. It is also high time that, people should try to clean their own homes before trying to clean other people's homes.
 
Angia kuanza kutafuta wadhamini kwa Wagombea Urais wapi imetumika nguvu mkuu. Au ndiyo mabeberu wanataka kutimiza adhima yao waliyokubaliana na kibalaka wao ya kuhakikisha amani inavurugika Tanzania...
Tuambie tusi moja alilotamka ili nasi tuungane nanyi kumponda, vinginevyo zitakuwa ni bangi tu kama kawaida yenu.

Tatizo lenu mliishazoea kulamba viatu sasa mnataka kila moja awe mlambaji, hilo halipo.

Wakati nyie mna kamungu kenu mnakokaabudu wengine tunamwabudu Mungu wa kweli aliye juu mbinguni, hatuwezi kumwabudu mwanadamu mwenzetu. That's never.
 
TL alisharopoka lengo lake kuwa akishindwa atawaingiza vichwa maji Chadema barabarani
Kama nawe unalijua hilo la Mabwana, nini kifanyike kwa akili yako ili kusiwe na vurugu?

Akili ni kuja na ufumbuzi wa matatizo kabla hayajatokea. Ni wakati wa kutumia akili sasa.
 
Akili zinakuwepo

na mm nikuulize hivi ukishakuwa Chadema ni lazima kupinga kila kitu,kuwa na fikra za kitumwa na kuropoka hovyo ?
Hivi naomba kuuliza ukishakuwa kijani kufikiri nako kunaisha!?
 
USA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.

Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
Usijilinganishe na ISA na usiwatukane USA wao ndiyo wenye slogan "KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI"

1.USAID

2.MCC

wanachangia bajeti yetu hivyo kama wafadhili wanayohaki ya kuhoji mambo ya utawala bora,Democracy kwa sababu ndiyo moja ya vigezo wanavyovitumia wakiwa wanatoa mikopo kwa nchi, hivyo usitukane wala kuwakejeli kingine wao ndiyo wanafadhili 'ARV' hebu tulia tu kwa maana Hizo ARV ni msaada mkubwa sana wa kibinadamu.

Kingine kuhusu Rais wao katiba yao inatoa haki ya kumkosoa Rais bila tatizo na siyo kosa, je katiba yetu hii iliyojengwa kwenye msingi wa Urais inalinda haki za wakosoaji wa Rais?
 
USA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.

Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
wakisiia mshamba wa chato ndio mnawaona wa maana. yaani ukiwa mshabeki wa ccm lazima uwe kichaa.
 
Lazima MATAGA watafuteni!!
Nyinyi mnaosikilizia Ulaya na marekani wanasemaje ndiyo mnategemea kupewa nchi, mtasubiri sana na wala hao marekani hawatawasaidi kitu, mnakwenda kupigwa kihalali kabisa na hao mabeberu watawagundua kuwa nyie walaghai tu
 
Ninayo mengine wala si jingine tu.

Wananchi wa kawaida ndiyo kina nani? Wao ndiyo wanaruhusiwa kudhuru watu na mali zao? Au ni wale wasiojulikana mnaojulikana?...
kwaiyo hukumsikia yule afande akisema kosa la sugu?

unamjua aliyechoma ofisi?

wananchi wa kawaida walionesha kukerwa na ujinga wa TL wakafanya yao kama ambavyo wewe hutumia muda wako humu kupinga
 
Hayo majibu ya wachangiaji sasa..ni kituko na aibu tupu...wakiambiwa watoe ushahidi sijui kama wataweza
 
Back
Top Bottom