MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
Ikowapi hiyo AJIRA? au umewashwa tu kuropokauna vigezo vya kupata ajira ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikowapi hiyo AJIRA? au umewashwa tu kuropokauna vigezo vya kupata ajira ??
Inavoonekana kwa kupenda pesa uko tayari iko siku mama ako utampelekea mumee kwa mahari ya sahani ya chipsi yai
Ikowapi hiyo AJIRA? au umewashwa tu kuropoka
Nahata Lisu alijipiga risasi mwenyewe
Mtoa mada anatuambia tutumie 25% ya ubongo wetu
Do u think wazungu wakitaka vurugu zitokee si jambo la dakika moja tu?
Kwanza wanasema tu mbuga zenu Zina virus vya microside haha then hakuna mtaalii anakuja
Hawapewi airtime, hiyo ni dalali ya mwanzo kabisa. Ofisi zao kuchomwa bila uchunguzi. Kupigwa mawe kwa mgombea wao tena kwa utaratibu wa DC na jeshi la polisi.
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia.
Haya.... endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
Hebu orodhesha hayo matusi nasi tuyajueAngia kuanza kutafuta wadhamini kwa Wagombea Urais wapi imetumika nguvu mkuu. Au ndiyo mabeberu wanataka kutimiza adhima yao waliyokubaliana na kibalaka wao ya kuhakikisha amani inavurugika Tanzania.
Huyo anawatukana viongozi wa serikali atakavyo wapi amezuia kutoa hizo lugha zake za kifedhuri
Ushahidi huu hapaOnesha ushaidi acha mihemko
Kwaiyo kwa akili yako hapa unaona umeleta Ushahidi ?
Vyeti feki ndo wengi wanolalama humu.
airtime mbona anapewa mimi nipo kigoma lakini napataje habari zote za TL
kama unaushaidi kuwa DC na polisi wanahusika kwenye hilo tukio kwann usifungue kesi ?
umeishia darasa la ngapi ?Kwaiyo kwa akili yako hapa unaona umeleta Ushahidi ?
Huna hojaumeishia darasa la ngapi ?
Habari za TL zipo huku kwenye social media tu. Anayewapa kiburi DC na Polisi ndiye anayepanga kesi za wapinzani ziwe na matokeo gani huko mahakamani.
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia.
Haya.... endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!