Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

kama ambavyo mama yako alivyopata mimba yako baada ya kutoa kipochi manyoa ili anunuliwe chupa mbili za gongo
Inavoonekana kwa kupenda pesa uko tayari iko siku mama ako utampelekea mumee kwa mahari ya sahani ya chipsi yai
 
Nahata Lisu alijipiga risasi mwenyewe

kwani hakuna asssumption znasema cdm wanahusika kumpiga risasi lissu? kama imeshajulikana mlikua mnachoma wenyewe nyumba hamshindwi kufanya huo upuuzi, mnajua mko kama machizi flan ivi hilo kundi lenu, yaaani mpo mpo tu
 
wewe kweli akili finyu unadhania ni simple kwamba Tanzania kuna virus bas hawaji
Do u think wazungu wakitaka vurugu zitokee si jambo la dakika moja tu?

Kwanza wanasema tu mbuga zenu Zina virus vya microside haha then hakuna mtaalii anakuja
 
Marekani hawezi kumpeleka Ikulu mgombea wa EU. Hizo ni propaganda tu. Na wala sisi watanzania hatuchaguliwi kiongozi na USA. Ya kwao yamewashinda halafu wanatutihia nyau. Hatutishiki sisi.
 
Airtime mbona anapewa mimi nipo kigoma lakini napataje habari zote za Tundu Lissu

kama unaushaidi kuwa DC na polisi wanahusika kwenye hilo tukio kwann usifungue kesi ?
Hawapewi airtime, hiyo ni dalali ya mwanzo kabisa. Ofisi zao kuchomwa bila uchunguzi. Kupigwa mawe kwa mgombea wao tena kwa utaratibu wa DC na jeshi la polisi.
 
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia.

Haya.... endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!

Mungu wabariki Wazungu
 
Angia kuanza kutafuta wadhamini kwa Wagombea Urais wapi imetumika nguvu mkuu. Au ndiyo mabeberu wanataka kutimiza adhima yao waliyokubaliana na kibalaka wao ya kuhakikisha amani inavurugika Tanzania.

Huyo anawatukana viongozi wa serikali atakavyo wapi amezuia kutoa hizo lugha zake za kifedhuri
Hebu orodhesha hayo matusi nasi tuyajue
 
Onesha ushaidi acha mihemko
Ushahidi huu hapa
2332550_matokeo_uchaguzi_3.jpg

Kama hujaelewa niulize tena
 
airtime mbona anapewa mimi nipo kigoma lakini napataje habari zote za TL

kama unaushaidi kuwa DC na polisi wanahusika kwenye hilo tukio kwann usifungue kesi ?

Habari za TL zipo huku kwenye social media tu. Anayewapa kiburi DC na Polisi ndiye anayepanga kesi za wapinzani ziwe na matokeo gani huko mahakamani.
 
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia.

Haya.... endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!

Kwa hiyo ulitaka je.
Wewe unamjua aliyechoma office za Chadema Arusha. Unacho shangilia ni nini sasa.
 
Back
Top Bottom