Serikali ya Rais Samia imeleta tabasamu na matumaini katika kila Sekta

Kwenye siasa upinzani wamekiri katika marais wote waliopita Rais Samia Suluhu ameonyesha nia ya dhati ya kufanya mazungumzo na kupata mariadhiano ya kitaifa
Rais Samia anakubalika na kila kundi kutokana na kazi kubwa aliyoifanya katika kuijenga nchi yetu
 
Endelea na uchawa wako kama unalipa
Endelea kupinga pinga kila kitu mwisho wa siku utajikuta umebaki mwenyewe na kupata maradhi ya presha kutokana na upendo mkubwa walionao watanzania kwa Rais wetu mpendwa mama Samia
 
Anasoma madrasa.
 
 
Tatizo la vijana wa kitanzania hamtaki mtu aandike ukweli kuusu serikali kama Serikali inafanya mambo mazuri acha watuwaseme wakifanya mambo mabaya tutasema pia
Wewe unahakika, Serikali hiii Kwa yanayoendelea, Ni kusifiii Kila Mara ??.

Yaan Dkt Bashiru, aseme neno

Wewe mganga njaaa, ulete njaa zako??.

Kwenye kusifu lazima tusofu, kwenye maujinga lazima tukemeee
 
Wewe unahakika, Serikali hiii Kwa yanayoendelea, Ni kusifiii Kila Mara ??.

Yaan Dkt Bashiru, aseme neno

Wewe mganga njaaa, ulete njaa zako??.

Kwenye kusifu lazima tusofu, kwenye maujinga lazima tukemeee
Kwani Nani kakuzuia kukosoa,mambo mema na makubwa aliyoyafanya mh Rais Ni mengi sana ambayo huwezi hata kuyamaliza kuyaorodhesha hapa ,ndio sababu unaona namna anavyokubalika na kupendwa Sana na watanzania kwa kuwa hata penye changamoto wanaona juhudi zake katika kutafuta ufumbuzi wa changamoto husika inayokuwa imejitokeza mbele yetu Kama Taifa
 
Wewe mlamba asali toa ujinga mtupu,huko kusini wakulima wa korosho wako wanalalamika kwa kupunjwa bei,nja kali huko vijijini mpaka sado la maindi linaizwa elfu 8 wakati hawana ela huko vijijini ukisema jina la Samia watu wanasikia Kichefuchefu cha kutapika.
 
Siku hz unajitahidi husahau kuacha namba ya simu😀😀😀

Walikuja wenzio hivihivi mpaka wakaamua kusepa 👇👇

 
Anapambana vipi wakati hadi leo wameshindwa kutoa mikopo yetu ya ufugaji samaki na uvuvi? Pesa ambazo zilitolewa na mabeberu tangu kitambo. Acha uchawa wewe, Rais hopeles kabisa huyu
 
Endelea kupinga pinga kila kitu mwisho wa siku utajikuta umebaki mwenyewe na kupata maradhi ya presha kutokana na upendo mkubwa walionao watanzania kwa Rais wetu mpendwa mama Samia
Rais aliyeingia ikulu kwa wizi wa kura kwa misaada wa mafisadi
 
Chawa kwa ubora wako
 
Usisahau kuwa ukienda Hospitali na hasa Muhimbili ujue kupokelewa tu wafungue faili ni uweke mil.1.2 au zaidi ndio upokelewe.

Hili nalo mkakitizame wizara ya afya.
 
Unafahamu Bei ya mbolea msimu uliopita ilikuwa shilingi ngapi kwa DAP,UREA,SA,CAN n.k? kwa akili yako na upeo wako wa kufikiri ,kwa Bei ya mbolea msimu uliopita ulitaka wauze mazao yao kwa shilingi ngapi? Kilimo Ni Biashara kwa Sasa,Nani anayeipenda kufanya biashara kichaa inayoleta hasara muda wote? Nani anapenda kukatika katika biashara? Nani asiyependa faida katika biashara take? Hujachelewa tafuta ardhi ulime upate mahindi ya chakula na mengine utauza kwa Mahitaji yako na familia yako,usitake wakulima wavuje jasho halafu wewe uje ulie kimvulini bila jasho
 
Anapambana vipi wakati hadi leo wameshindwa kutoa mikopo yetu ya ufugaji samaki na uvuvi? Pesa ambazo zilitolewa na mabeberu tangu kitambo. Acha uchawa wewe, Rais hopeles kabisa huyu
Uwe na heshima na adabu kwa mh Rais wetu,uwe Kama mtu aliyepata malezi ya wazazi,siyo kuropoka ropoka tu Kama mlevi ,
 
Ndio Maana nimesema Wewe ni mlamba asali,nenda hapo kusini kwa wauza Korosho usikie kilio chao, wakulima wanavyolalamika kuhusu bei,sasa hiyo furaha inatoka wapi wakati kuna wakulima wanalalamika? Subirini migomo inakaribia,kuna wanafunzi wa mpaka leo hawajapewa mikopo pamoja na kupitishwa na bodi eti watu wanafuraha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…