Serikali ya Rais Samia imeleta tabasamu na matumaini katika kila Sekta

Matendo yapi hayo
Mkuu wa nchi TAPELI, hizi pesa zikowapi hadi leo hii
Mikopo Vizimba.PNG
 
Ndugu zangu,Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni,Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta,Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais Samia amefanya uwekezaji na mapinduzi makubwa katika kila secta inayogusa maisha ya mtanzania,kila eneo utakuta mkono wa Rais Samia,kila mahali utakuta maagizo ya Rais Samia,kila eneo utakuta kazi ikiendelea kwa Kasi ,kila Kona utakuta Alama za Rais Samia,Hakuna utakapokwenda ukakuta kumesahaulika na serikali ya Rais wetu,Hakuna utakapokwenda ukakuta hakuna uwekezaji wa Kodi za mtanzania,Ni kazi kila mahali,Ni uwekezaji kila Kona na matumaini kila eneo.

Ukienda katika Elimu unakuta Ni Tabasamu na matumaini makubwa kwa watoto wanaotoka familia za kipato Cha chini Kuendelea mbele kielimu na kimasomo baada ya Rais huyu shupavu,Jasiri,imara,,Hodari na mzalendo wa Dhati kuamua kuifanya Elimu kuwa bure Hadi kidato Cha sita,Utakuta wanafunzi wa vyuo vikuu wakiwa na Tabasamu baada ya kupatiwa mikopo kwa wakati kwa wote waliokidhi vigezo.wazazi wenye kipato Cha chini hawana wasiwasi juu ya watoto wao kutimiza Ndoto zao maana wanajuwa habari njema iliyoletwa na jemedari wetu Rais Samia kwa kuamua kuwa kila mtoto bila kujari familia aliyotokea anapata haki ya Elimu bila kikwazo au kizuizi.

Ukienda katika kilimo unawakuta wakulima wakiwa na Furaha na kumshukuru Rais wao Mama wa shoka Rais Samia kwa kuwapatia mbolea za Ruzuku kwa kutoa mabillioni ya pesa za kitanzania Takribani billioni Mia moja hamsini huku bajeti ya Wizara ikiongezeka Mara dufu katika historia ya nchi yetu na kufikia billioni Mia Tisa na point,Sasa wakulima Ni Tabasamu na matumaini makubwa mioyoni mwao ya kuongeza na kufanya kilimo Chao bila kikwazo baada ya kupatiwa unafuu wa Bei ya mbolea, lakini pia Wana uhakika wa soko la mazao yao baada ya Rais wetu mpendwa kuimarisha Diplomasia yetu ya uchumi na kuifungua nchi yetu kiuwekezaji na kibiashara ,Sasa wakulima wanafaidika na jasho lao baada ya kuwa juani na kwenye mvua wakati wote wa kilimo, utawaambia Nini wakulima juu ya mama yao Rais Samia wakuelewe? Hakika Kama unataka ugomvi na wakulima jaribu umseme vibaya Rais Samia utakiona Cha mtema kuni.

Ukienda katika secta binafsi Ni mafanikio matupu kwani kwa Sasa secta hii imeimarika vizuri na kukua vyema na kutoa fursa za ajira kwa vijana,Husikii habari za kufungwa kwa biashara za watu ,au kupunguza wafanyakazi au muwekezaji kuondoka nchini,kwa Sasa unasikia uwekezaji katika kila nyanja ,ujio wa wawekezaji wakubwa na masuala mengine Kama hayo.

Ukija katika Afya nako Ni Matumaini na mafanikio matupu,vituo vingi vya Afya vimejengwa kila Kona ya nchi yetu,kila sehemu huduma za Afya zimesogezwa karibu ya mwananchi,upatikanaji wa Dawa ,vifaa Tiba Ni wa uhakika bila kusahau uwepo wa wataalamu
na wahudumu mudaa wote. Hivi majuzi tu vimejengwa vituo vya Afya takribani 234 nchini vilivyotokana na Tozo zetu chini ya usimamaizi madhubuti wa Rais Samia na serikali yake.

Hayo Ni kwa uchache Kati ya mengi,Ni wapi utakwenda usikute kazi ya kutukuka ya Rais Samia? Ni wapi Rais Samia na serikali yake hajapeleka fedha? Ni Nani na kwa namna gani hajaguswa na juhudi na utumishi wa kutukuka wa Rais Samia? Ni Nani hajafikiwa na huduma? Ni Nani hajaona juhudi za Rais Samia katika kuijenga nchi yetu? Ni Nani Haoni namna Rais Samia anavyofanya kazi bila kupumzika? Ni Nani asiyeona upendo wa dhati na mkubwa alionao Rais Samia kwa Taifa letu?

Mnataka Rais wetu mpendwa afanye Nini kwetu ili Turidhike? Mnataka atuletee Nini ili Tushukuru kwa uwajibikaji wake uliotukuka? Kwanini Tusimpongeze ndugu zangu? Hamjuwi hata yeye Ni mwanadamu? Hamjuwi hata yeye ana moyo wa nyama? Nawaombeni watanzania wenzangu Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa mama Samia na Tuwe na Subira tupitiapo changamoto fulani Kama Taifa.

Kazi Iendeleee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Hata cjasoma huu upupu
 
Ile shely Mle ndani ya Stendi ya Mabasi ya Msamvu ni ya nani??

Ikawaje Shely ikajengwa katikatai ya stendi ilihal lile ni eneo la Umma?

Miaka ya huko mbele tutakuja ibomoa kama jengo la TANESCO Ubungo
 
Kumbe zinatoka kwa konektioni sivyo? We chawa mtu wa hovyo kabisa, watu tuko field miezi na miezi tunadanganywa tu kauli zenu za Mama anaupiga mwingi
Endelea kulalamika wakati vijana wanachukua mikopo kupitia halmashauri zao kwa kufuata utaratibu uliowekwa,Sasa wewe naona unataka uletewe ulipo kaa kibarazani kuitukana serikali
 
Sijasoma .....lakini naamini wewe ni TAAHIRA UNAYESUBILIA HATI ZA JALALA
Bila Shaka unatatizo linalohitaji matibabu ya haraka kabla hujaharibikiwa.hujasoma halafu unatukana, huoni kuwa una tatizo kichwani?
 
Jitahid kijana,uchawa unalipa now
Ndugu zangu,Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni,Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta,Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais Samia amefanya uwekezaji na mapinduzi makubwa katika kila secta inayogusa maisha ya mtanzania,kila eneo utakuta mkono wa Rais Samia,kila mahali utakuta maagizo ya Rais Samia,kila eneo utakuta kazi ikiendelea kwa Kasi ,kila Kona utakuta Alama za Rais Samia,Hakuna utakapokwenda ukakuta kumesahaulika na serikali ya Rais wetu,Hakuna utakapokwenda ukakuta hakuna uwekezaji wa Kodi za mtanzania,Ni kazi kila mahali,Ni uwekezaji kila Kona na matumaini kila eneo.

Ukienda katika Elimu unakuta Ni Tabasamu na matumaini makubwa kwa watoto wanaotoka familia za kipato Cha chini Kuendelea mbele kielimu na kimasomo baada ya Rais huyu shupavu,Jasiri,imara,,Hodari na mzalendo wa Dhati kuamua kuifanya Elimu kuwa bure Hadi kidato Cha sita,Utakuta wanafunzi wa vyuo vikuu wakiwa na Tabasamu baada ya kupatiwa mikopo kwa wakati kwa wote waliokidhi vigezo.wazazi wenye kipato Cha chini hawana wasiwasi juu ya watoto wao kutimiza Ndoto zao maana wanajuwa habari njema iliyoletwa na jemedari wetu Rais Samia kwa kuamua kuwa kila mtoto bila kujari familia aliyotokea anapata haki ya Elimu bila kikwazo au kizuizi.

Ukienda katika kilimo unawakuta wakulima wakiwa na Furaha na kumshukuru Rais wao Mama wa shoka Rais Samia kwa kuwapatia mbolea za Ruzuku kwa kutoa mabillioni ya pesa za kitanzania Takribani billioni Mia moja hamsini huku bajeti ya Wizara ikiongezeka Mara dufu katika historia ya nchi yetu na kufikia billioni Mia Tisa na point,Sasa wakulima Ni Tabasamu na matumaini makubwa mioyoni mwao ya kuongeza na kufanya kilimo Chao bila kikwazo baada ya kupatiwa unafuu wa Bei ya mbolea, lakini pia Wana uhakika wa soko la mazao yao baada ya Rais wetu mpendwa kuimarisha Diplomasia yetu ya uchumi na kuifungua nchi yetu kiuwekezaji na kibiashara ,Sasa wakulima wanafaidika na jasho lao baada ya kuwa juani na kwenye mvua wakati wote wa kilimo, utawaambia Nini wakulima juu ya mama yao Rais Samia wakuelewe? Hakika Kama unataka ugomvi na wakulima jaribu umseme vibaya Rais Samia utakiona Cha mtema kuni.

Ukienda katika secta binafsi Ni mafanikio matupu kwani kwa Sasa secta hii imeimarika vizuri na kukua vyema na kutoa fursa za ajira kwa vijana,Husikii habari za kufungwa kwa biashara za watu ,au kupunguza wafanyakazi au muwekezaji kuondoka nchini,kwa Sasa unasikia uwekezaji katika kila nyanja ,ujio wa wawekezaji wakubwa na masuala mengine Kama hayo.

Ukija katika Afya nako Ni Matumaini na mafanikio matupu,vituo vingi vya Afya vimejengwa kila Kona ya nchi yetu,kila sehemu huduma za Afya zimesogezwa karibu ya mwananchi,upatikanaji wa Dawa ,vifaa Tiba Ni wa uhakika bila kusahau uwepo wa wataalamu
na wahudumu mudaa wote. Hivi majuzi tu vimejengwa vituo vya Afya takribani 234 nchini vilivyotokana na Tozo zetu chini ya usimamaizi madhubuti wa Rais Samia na serikali yake.

Hayo Ni kwa uchache Kati ya mengi,Ni wapi utakwenda usikute kazi ya kutukuka ya Rais Samia? Ni wapi Rais Samia na serikali yake hajapeleka fedha? Ni Nani na kwa namna gani hajaguswa na juhudi na utumishi wa kutukuka wa Rais Samia? Ni Nani hajafikiwa na huduma? Ni Nani hajaona juhudi za Rais Samia katika kuijenga nchi yetu? Ni Nani Haoni namna Rais Samia anavyofanya kazi bila kupumzika? Ni Nani asiyeona upendo wa dhati na mkubwa alionao Rais Samia kwa Taifa letu?

Mnataka Rais wetu mpendwa afanye Nini kwetu ili Turidhike? Mnataka atuletee Nini ili Tushukuru kwa uwajibikaji wake uliotukuka? Kwanini Tusimpongeze ndugu zangu? Hamjuwi hata yeye Ni mwanadamu? Hamjuwi hata yeye ana moyo wa nyama? Nawaombeni watanzania wenzangu Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa mama Samia na Tuwe na Subira tupitiapo changamoto fulani Kama Taifa.

Kazi Iendeleee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
 
Tuna imani na Rais wetu na tunaamini Hakuna fisadi atakaye salimika na kubaki salama akibainika kugusa fedha za umma,pia Tambua kuwa sisi wote Ni watanzania acha habari zako za uzanzibar
Make hapo kwanza ncheke.
 
Ndugu yangu, ukiendelea na mtizamo huu, utasinyaa ubongo, toka kwenye hilo jeneza ulilo wekwa.

Rais mwenyewe kutwa anaona matatizo yanazidi wewe unampa sifa za kijinga namna hii?

Umeme hapa tu haupo, sector ipi itapata unafuu bila umeme?

Kidogo nikutukane.
 
Hali ya Umeme kwa Sasa inarejea katika Hali take ya kawaida,Niliko Mimi kwa sasa tunapata umeme bil shida ukilinganisha na awali kipindi Cha ukame mkali
 
Utakuwa unamuongelea rais wa manzese sio Rais wa JMT. Hii nchi ni kubwa sana kwa kuiongelea kwa takwimu zako zakitoto na zinazokunifaisha wewe, lamba asali ni swala la muda tu acha kulopokwa.
 
Back
Top Bottom