Serikali ya Rais Samia imeleta tabasamu na matumaini katika kila Sekta

Utakuwa unamuongelea rais wa manzese sio Rais wa JMT. Hii nchi ni kubwa sana kwa kuiongelea kwa takwimu zako zakitoto na zinazokunifaisha wewe, lamba asali ni swala la muda tu acha kulopokwa.
Leta Takwimu zako tofauti na zangu,pinga Takwimu zangu kwa kuleta Takwimu zako
 
Hali ya Umeme kwa Sasa inarejea katika Hali take ya kawaida,Niliko Mimi kwa sasa tunapata umeme bil shida ukilinganisha na awali kipindi Cha ukame mkali
Kwako wameshamaliza matengenezo?

Bila JPM kutuamsha hii nchi tungekuwa tunapewa kila aina ya kisingizio.
 
Kwako wameshamaliza matengenezo?

Bila JPM kutuamsha hii nchi tungekuwa tunapewa kila aina ya kisingizio.
Umeme kwa Sasa Hali Ni yakutia matumaini Sana ,kwani unapatikana muda mwingi ukilinganisha na muda unaokatika
 
Umeme kwa Sasa Hali Ni yakutia matumaini Sana ,kwani unapatikana muda mwingi ukilinganisha na muda unaokatika
Acha ulongo wewe. Utakuwa unatumia umeme kuchaji simu tu basi.

Mgao mkali sana jijini Dar.

Wewe huelewi, watu tunategemea umeme ndio maisha yasogee. Tunaisoma mno
 
Skunk of the nation! Once a parent sold cattle and sent another bull to school! Pathetic! Umamsifia mtu mpaka anaona aibu mwenyewe!
Ulichokiandika ni kwamba Tanzania imo katika nchi zilizoendelea tena kwa kiwango Cha Juu zaidi!
Tanzania haina chamgamoto zozote!
Wewe ni mpumbavu ashakum si matusi Ila mlamba matatercall kwa ajili ya kujaza tumbo!
Mzalendo ni mtu anayeipenda nchi yake sio mtu aliye nje ya serikali anampaka kiongozi mafuta Ili anyone kihiyo wewe! Unatutia aibu vijana na sijui ni chuo gani ulisoma ambacho Hakifundishi logical and critical thinking and reasoning! Wewe ni mzigo kwa Taifa! USA, Europe and Scandinavian countries Bado Wana chagamoto lukuki licha ya hatua kubwa waliyopiga katika maendeleo ya watu na vitu Leo umamsifia Rais utadhani tuko mbinguni?

Vituo vya afya vimejengwa havina watumishi wa kutosha na dawa na vifaa Tiba huku watanzania wachache wakiwa na bima ya afya kuweza kuifikia hiyo huduma ya matibabu! Badala ya kuishauri serikali y'ako ijje na bima ya afya kwa wote Ili watu wawe na uhakika wa kuishi na kufanya kazi kwa maendeleo Yao wewe unabana pua (pumbavu)

Karne ya 21 nchi Ina shule za matabaka (shule za kata community school) form four kwaheri kwenye mfumo na hawana wanalochangia kwenye maendeleo ya nchi hii kama secta rasmi? Shule za serikali (state schools) wanaosoma watoto wa vigogo na daraja la shule za taasisi na watu binafsi (mabwanyenye?) Unasema elimu ni Bora au Bora elimu ya idadi kubwa ya wanohudhuria vyima vya madarasa kama wewe mjinga mmoja?

Umeme umekua changamoto pamoja na Maji Karne ya 21 maji yanatoka wakati wa ziara tu unasema nchi imeendelea? Hivi wewe ni mbuzi kama alivyosema yule mhabeshi?

Fedha za umma zinatafunwa kila uchwao unasema anadeal na mafisadi? Taja kesi hata moja ilihohukumu mtymishi mbadhirifu unasema anadeal na mafisadi (pumbavu aashakum si mtausi)

Hakuna viwanda vya kusindika na kuongeza thamani kwenye perishable goods Leo unasema mkulima amekombolewa kwa kigezo Cha mbolea? We ni kuku alikatwa kichwa?

Shirika la reli limekuja na pendekezo la nauli ambalo sio rafiki je kutakua na easy movement of people goods and services? We ni kenge mpaka utoke damu ndo utaskia!
Inatia kinyaa!
 
Acha ulongo wewe. Utakuwa unatumia umeme kuchaji simu tu basi.

Mgao mkali sana jijini Dar.

Wewe huelewi, watu tunategemea umeme ndio maisha yasogee. Tunaisoma mno
Hili ni kubwa jinga kunahitajika elimu Ili njaa isiendelee kukaa kichwani irudi tumboni! Ana utapiamlo wa kufikiri
 
Mkuu
Ukishashiba dengu na choroko basi taabu inakuwa kwetu majirani.

Hiki ulichokiandika kinatoka ndani yq nafsi yako au ni vile unalinda dona la watoto?

Hali ni mbaya kuliko maelezo. Unayejitahidi kumhadaa kuwa anapendwa anapaswa kujua dua zimeshaanza kumuomba Mungu awaepushie kikombe anachowanywesha. Akipumzika mhula huu unapoisha ataishi ndani ya mioyo yetu
 
Mwenyezi Mungu Ndiye aliyemuinua na kumfikisha hapo kiuongozi Rais wetu mpendwa ,ndio sababu anaungwa mkono na mamillion ya watanzania,Ndio sababu nchi ina amani na utulivu ndio sababu tunapiga hatua za kimaendeleo,ndio sababu kuna umoja wa kitaifa,ndio sababu ya kutamalaki kwa upendo miongoni mwa watanzania.

Rais Samia hawezi Kushushwa na Mwanadamu mwenye chuki binafsi,Rais Samia anapigania maslani ya Taifa letu popote pale anapokuwa
 
Hili ni kubwa jinga kunahitajika elimu Ili njaa isiendelee kukaa kichwani irudi tumboni! Ana utapiamlo wa kufikiri
Umeandika nini Sasa hapa,punguza chuki na hasira katika kifua chako ili nafasi take uchukuliwe na kukaliwa na upendo
 
Bila Shaka hata huelewi ulichoandika maana naona uwezo wako wa kuchambuaa mambo ni wakutoa mashaka,Hivi unaelewa kilichopelekea changamoto ya umeme iliyokuwa imetokea
Uzuri na ubaya ni kwamba natumia anonymous ID, uwezo wako wa kureason na kujadili mambo kwa Hoja hunifikii hata asilimia Tano!
Changamoto za umeme ni man made sio natura causes

Katika ulimwengu tulionao kwa maendeleo ya teknolojia tulikofikia hatupaswi kutegemea tu Hydroelectric power!

Ina Maana hali ya Mabadiliko ya Tabia ya nchi ingepersist for some months nchi hii ingeendelea kuwa gizani na kila kitu kingesoma negative!
Wakati hapo awali waziri alisema tatizo ni uchakavu wa mitambo na transmission lines serikali ikamwaga pesa tatizo likabakia pale pale mpaka waziri anang'aka kuwa watu wanataka uwaziri wake!

Tukamwambia sawa' uhaba wa mvua tu kwa miezi michache hali ikaendelea kupersist akasingizia mvua kama mbaazi inaposhindwa kuzaa! Mungu akatuonea huruma ikanyesha, sasa Leo hii unataka nikwambie kwamba sijui tatizo la umeme ni viongozi wetu kuwaza Leo tu na matumbo Yao na familia zao kama wewe unavyojinadi hapa?
Acha umbumbu Mwashambwa!
Sometimes nakujibu tu sababu naona unaandika tantarira!
 
Umeandika nini Sasa hapa,punguza chuki na hasira katika kifua chako ili nafasi take uchukuliwe na kukaliwa na upendo
Nimeandika ukichosoma na kukijibu!
Nikuchukie kwani naogombea demu na wewe mwenye kamasi kichwani? Hahaa nikuchukie? Acha unaa
 
mungu yupi unayemtaja?
mungu ambaye anaamua kesi kwa kuua watu msiowataka au mungu yupi?

Kumkosoa Rais Samia siyo chuki binafsi bali kumficha ukweli wa uhalisia ndiyo chuki binafsi pia ni aina ya ulozi mbaya sana.

Nchi ipo pabaya. Watu wanaishi na wengi wanaishia usingizini. Watu hawajui kesho wataamkaje.

Futaneni machozi lakini kilio kipo mlangoni kinawasubiri.
 
Dogo huu uzi umeuweka kwenye auto upload nini? Maana naona kila mara unajirudiarudia.
 
punga jingine kutoka lumumba likisaka uteuz
 
Wewe chawa tu
 
Katie mbali na huu ujinga uliouandika
1. Bei ya sukari Tshs 3,000/-
2. Bei ya maharagwe Tshs 3,700/-
3. Bei ya mafuta ya kula ni Tshs 10,000/- kwa lita ya sundrop
4. Bei ya kilo ya nyama ni Tshs 9,000/-
Etc
Hilo tabasamu linatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…