Serikali ya Rais Samia imeleta tabasamu na matumaini katika kila Sekta

Nyamaza subili kuiba kula 2025 bas sound peleka Dodoma kwenye vikao vya Nec
 
Muwe na huruma kwa watanzania wanyonge angalau mara moja kwa juma.
 
Muwe na huruma kwa watanzania wanyonge angalau mara moja kwa juma.
Kwani wewe huzioni juhudi za mh Rais kumkwamua mtanzania mnyonge kiuchumi? Huoni uwekezaji katika kilimo secta iliyobeba kundi kubwaa la watanzania? Huoni namna Rais Samia alivyosogeza huduma za kijamii karibu ya mwananchi mnyonge? Unataka Rais Samia afanyeje ndio ujuwe kuwa anawajari wanyonge?
 
Nimewasomesha katika ngazi za vyuo vya kati wadogo zangu wawili wa kike katika kozi za afya. Kiukweli kwa upepo huu ninaouona kuna uwezekano mkubwa wadogo zangu wakapata ajira serikalini. Mungu mbariki mama samia. Mungu ibariki Tanzania😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…