Serikali ya Rais Samia inamuogopa Askofu Gwajima na haina la kumfanya

Mbona kama unataka kuijaza upepo serikali imshughulikie ?🤣
Serikali inawezaje kufanya jambo juu ya wananchi wake afu mbuzi mmoja akatumia nguvu nyiiingi kuiponda publicly hivi afu wamenyamaza tu na lazima kutakuwa na impact juu ya hili la Rashid wamebaki tu kurembua wanachojua ni kunyanyasa wanaohoji katiba mpya
 
Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Naona wakati muafaka wa ccm kufarakana wao kwa wao umefika. Na ili ccm ianguke chali kifo Cha mende inabidi tukio la mnara wa babeli lijirudie wasielewane wao kwa wao hapo ndipo anguko lenye kishindo kikuu litasikika. Utakuwa mwisho mubaya wa matagama na vyama vyenye mfumo wa demokrasia ya kweli vitashika hatamu. Muda utatueleza hakuna Siri itakayofichika hata walioua na kutesa watu, pia kumpiga risasi tundu lisu watajulikana.
 
Hata mbowe mlisema hivyo hivyo....sasa sikia Gwajima hajajikaanga vizuri ngoja aive uone
 
Ukitaka kumchinja kobe lazima umulie timing.
Kweli mwinda Kanga hua hapigi kelele ni mwendo wa kimya kimya. Tusubiri huenda akavuliwa uanachama ili abaki kwenye madhabahu aachane na siasa
 
Mkuu si ukachanje kwani lazima boss ..!! Kachanjwe Jonson na Jonson ili uwe salama
 
Gwajima ana tofauti gani na akina Mchungaji Mgogo ambao wamegeuza madhabahu kuwa sehemu ya mipasho na siyo sehemu ya kuokolea roho za watu?
Huko umeenda mbali , kuna Yule mhuni anajiita askofu Bangoza akiongea kupondea serikali Basi utasikia ooh anatumia vizur Uhuru wa habari na kuwa n Halali yake asiingiliwe , Gwajima akiongea inakuwa nongwa et anaharibu nchi, Uhuru si ndo huu sasa jaman au tunalilia Uhuru upi...!! Wamwache Gwajiboy
 
Na kawa mpumbavu sana

ila tatizo anakusanya wapumbavu wengi mno

wamkate kimeo
Nah, it’s okay.

Hata wapumbavu wana haki ya kuwa wapumbavu bila kujali idadi yao.

Wasimnyamazishe. Wazijibu hoja zake za kipumbavu kwa hoja zenye akili.

Wakitumia nguvu kumnyamazisha maana yake ni kwamba kawashinda ki hoja!
 
Wakuu mbna Bagonza akiongea kupondea misimamo ya serikali huwa tunashangilia , Why Gwajima iwe nongwa ?? wanaopenda kudungwa Syringe waende , labda wafanye kuwa lazima la sivyo hawapati mtu...!! Mapokezi ya Gwajima kitaa ni next level
 
Tanzania ni nchi huru,kila mtu ana uhuru wa kusema anachokitaka,sasa wewe unataka umpangie kitu cha kuongea,mjibuni Gwajiboy kwa hoja na si kwa kumtishia nyambafu nyie,kwani hii nchi ni ya kwenu tu? Hao wataalamu wa ndani wajitokeze kutupa facts!

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Nah, it’s okay.

Hata wapumbavu wana haki ya kuwa wapumbavu bila kujali idadi yao.

Wasimnyamazishe. Wazijibu hoja zake za kipumbavu kwa hoja zenye akili.

Wakitumia nguvu kumnyamazisha maana yake ni kwamba kawashinda ki hoja!
Never argue with a fool

tandika mbata atatia Akili
 
,kwa sisi tuaminio ata kuchanjwa ni dhambi
 
Liberty, isitoshe kusema tu kuwa chanjo ni hiari
 
Acha kubeza Kanisa la Mungu.
Zitadumu fikra za Anko MAGU.
 
Kweli mwinda Kanga hua hapigi kelele ni mwendo wa kimya kimya. Tusubiri huenda akavuliwa uanachama ili abaki kwenye madhabahu aachane na siasa
Anafanya tu kusudi eti kisa Rais ni mwanamke. Gwajizo anaudaganya umma, jamani wilayani kwetu watu wengi wanafariki yeye analeta utani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…