Serikali ya Rais Samia inamuogopa Askofu Gwajima na haina la kumfanya

Mbona kama unataka kuijaza upepo serikali imshughulikie ?[emoji1787]
Huyu ndiye gaidi..

Hii serikali dhaifu sana. Inawaweza kuwaonea wa fuasi wa chadema na ACT tu.

Polisi kama hawaoni haya mambo.

Nchi ina upuuzi mwingi sana. Eti Gwajima anakuwa mbabe wa kupinga sera ya afya ya serikali ambayo hata WHO inaitambua.
 
Tunaomjua Mungu,tunamwona ngajima ni taperi wa imani.
Hamjui Mungu ila janjajanja tu apate pesa za waumini

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
mtu anaesema ndani ya miez sita korona ilikua imeisha, sasa huyo utamjibu nini?
"Uelewa gani ambao hana Mch. Gwajima ambao wewe unao G Sam..?

Hata hivyo:

1. Mwenzio anazungumza mambo katika perspective ya kiroho, ambayo wewe naamini kuwa huna uelewa huo...

2. Hata katika perspective ya kisayansi anaelewa kuliko unavyoelewa wewe. Mfano hoja za kisayansi za Mch. Gwajima ni;

#1. Hakuna utafiti wa kutosha wa kisayansi uliokwisha kufanyika kuthibitisha usalama wa chanjo yeyote ya korona mpaka sasa. Kama upo weka paper yake hapa uoneshe ilichapwa lini, wapi na nani. Kama hakuna, haraka ya nini kutaka kulazimisha kila mtu achanjwe pasipo kuwa na scientific safety assurance kwanza..?

#2. Nini madhara ya chanjo hii ya muda mfupi, wa kati na mrefu kwa atakayechanjwa..?

#3. Kwa maneno ya Rais Samia Mwenyewe siku ya uzinduzi wa chanjo kitaifa alisema kuwa, mara mtu achanjwapo anaingia moja kwa moja kwenye database ya dunia. Swali, ni nani mmiliki wa database hiyo? Yuko wapi?

Haya ndo maswali anayouliza Mch. Gwajima na watetezi wa hii kitu wanakwepa au wanashindwa kutoa majibu sahihi...!!

Kama mtu makini hajiulizi maswali haya kabla ya kupokea hii kitu, basi huyo mtu ndiye mjinga kabisa kwa 100%...!"

Copy and paste
 
Kama wameweza kumjibu polepole
Basi Mr gwaji anaogopeka.
 
Wewe Ngebe umechagua kutetea chanjo,usimlazimishe Gwajima awe na mtazamo sawa na wewe.Nincompoop.
 
Anaogopwa mno !!
 
Amegeuza Kanisa kuwa uwanja wa siasa! Siamini kama serikali imemshindwa huyu! Hivi Serikali ni nini na ni nani? Serikali huwa haishindwi anaweza kushindwa mtu serikalini ila siyo serikali! Yashike maneno yangu yatakuja kukusaidia huko uendako.
 

Wale blind followers wa Trump inawasaga kama kazi!
 
katika matibabu njia moja isipoleta ufanisi, unatumia njia nyingine
unaweza kuthibitisha kushindwa kwa ufanisi wa kupambana na Corona kwa miezi mitatu iliyopita? kabla hamjatuletea chanjo?
 
Gwajima yupo sahihi.

Tuache pia kutumia Kondumu na vyamdarua vya mbu.Tujikite katika maombi
 
Chanjo hazitoshi wacha aendelee kuisaidia serikali kwa kuwapumbaza maskini
 
Mbona kama unataka kuijaza upepo serikali imshughulikie ?[emoji1787]
Kama Gwajima hajatumwa na serikali ili kuficha tatizo la uhaba wa chanjo basi itakuwa inasubiriwa raiti time ya kuhit.Atapigwa nyundo Moja hatakaa asahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…