Serikali ya Rais Samia inamuogopa Askofu Gwajima na haina la kumfanya

Mama yuko soft kwa Gwajima anaewapinga ila harsh kwa Mbowe anaedai haki zake zinazotambulika kisheria.
Gwajima anaficha udhaifu was uhaba wa chanjo. Ujue chanjo milioni Moja Kati ya watu milioni sitini ilkuwa ninkugombanisha watu
 
Gwajima ana hoja. Tatizo unaacha kujadili hoja,unakimbilia kwenye kuchochea CCM na serikali wamuadhibu Gwajima.
Chanjo tumeambiwa ni hiari.
So wa hiari wahubiri watu wakachanjwe,na wasiotakaka wahubiri watu wasitake.
Mtu achague upande.

Kwanza chanjo gani unasaini kifo kabla hujachanjwa?
Inafahamika kuwa,anayefanyiwa oparesheni/upasuaji serious ndiye husaini,na nadhani ni ndugu ama mtu yeyote wa karibu,husaini kama ishara ya litakalotokea,ni kazi ya Mungu.

Kwanini chanjo ya corona tusaini?
Wanaotaka tuchanjwe wanahofu gani na chanjo?
Mtu ametuambia anategemewa kama mama,bibi,mke nk,je hiyo tu ni sababu tosha tumuamini?
Nani anauhakika sikuile Samia aliyochomwa ndicho wanacho tutaka tuchome?
Kweli serikali i risk maisha ya Rais wa nchi?


Tutafakari.

Wanatutisha kuwa tunaopinga chanjo ni kwakuwa hajatokea mgonjwa makwetu. Kwani imeandikwa wapi kila baya litampata kila mtu?
Imeandikwa wapi kuwa kwa jirani kukifiwa na kwako ni kesho yake?


SINTOCHANJWA,DAIMA DUMU.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania.
 
Tbl wako wapi wapeleke roli mbili kwa gwajima [emoji2][emoji2]... Watu wanabadilika tuwaamini vipi
Njaa mbaya sana. Leo Dr Molel anaichambua Johnson & Johnson kama katengeneza yeye. Dah!!
Magu angerudi leo asingeamini macho na masikio yake walahi!!!
 
Athibitishe kwamba Mungu yupo kwanza.
 
Pale ni kijiwe cha mipasho
 
Jamani hawa ma ASKOFU matapeli kama huyu Gwajima, wanapataje waumini? Ama tuna wajinga wengi Africa
 
Nitashangaa sana tena sana kama gwajima hadi j4 atakua uraiani
 
Kumbe mama alisema hivyo kuhusu kuchanjwa ni kuingizwa kwenye database ya dunia? Hilo lilikuwa kosa kubwa kimantiki na kimkakati, huwezi kuipromote chanjo tata kama hizi kwa kauli kama hizo.

Bila shaka naye ni miongoni mwa wale wanaoamini "Tanzania inaihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tanzania".
 
kick point ya kupata waumini ndicho kinachoangaliwa lakini msingi mkuu ni chanjo ni muhimu sana na kusali kumuomba mungu nako ni muhimu sana
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Gwajima ana hoja. Tatizo unaacha kujadili hoja,unakimbilia kwenye kuchochea CCM na serikali wamuadhibu Gwajima...
Mbona hayo maswali yake ya kipumbavu yaliishajibiwa zamani? Gwajima anahasira zake mwendzake alimdanganya atamuachia kiti cha Urais sasa mambo yamebuma
 
Nadhani ni muda yu bado. Anatafutiea angle. Adui yako ukishamuweka karibu ni rahisi kideal naye. As long as tuko hai lets keep watching this space hapa
 
Anafanya tu kusudi eti kisa Rais ni mwanamke. Gwajizo anaudaganya umma, jamani wilayani kwetu watu wengi wanafariki yeye analeta utani tu


Huo utakuwa ni mtazamo wenye inferiority complexity ndani yake!

Sizani.

Je kama anafanya hivyo kumuenzi JPM ambaye alikuwa ni Supreme Leader mwenye msimamo huo huo na kuwaambia wananchi kuwa hayo makitu hayafai?
 
Unateseka ukiwa wapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…